johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Siku Hizi sekta ya Umma hakuna urafiki ni Ulozi tuNdiyo wanavyoishi Ulaya, Marekani hata Zambia hawana huu upumbavu kama wa kwetu, DED na DC wanaenda kikao kimoja Dodoma (TAMISEMI) kwanini wasitumie gari moja na wote ni watumishi wa umma? lakini kila mtu ataenda na gari lake utadhani ni maadui. Matumizi mabaya ya fedha za umma.
Mtu kama Mshana jr kutwa yuko kwenye ofisi za Serikali wakati siyo mwajiriwa 😂😂😂