ok.🐒Mimi Taifa Stars nimeshaitoa kwenye list ya timu ntakazoshangilia , kitendo cha Waziri kwenda front na yeye kutaka auze jezi mtaani kimetoa morari yangu juu ya hii timu. Kwa sasa hata wakitaka kuweka sura ya mama kwenye jezi waweke kabisa au kuweka jembe na nyundo waweke pia.
Hapa tungojee rungu la FIFA tu, nyamitako ana kiherehere sana.Mimi Taifa Stars nimeshaitoa kwenye list ya timu ntakazoshangilia , kitendo cha Waziri kwenda front na yeye kutaka auze jezi mtaani kimetoa morari yangu juu ya hii timu. Kwa sasa hata wakitaka kuweka sura ya mama kwenye jezi waweke kabisa au kuweka jembe na nyundo waweke pia.
Mimi Taifa Stars nimeshaitoa kwenye list ya timu ntakazoshangilia , kitendo cha Waziri kwenda front na yeye kutaka auze jezi mtaani kimetoa morari yangu juu ya hii timu. Kwa sasa hata wakitaka kuweka sura ya mama kwenye jezi waweke kabisa au kuweka jembe na nyundo waweke pia.
Tatizo la hawa wenzetu wanasiasa kuingiza siasa kwenye mambo ambayo hayahitaji siasa kwa kifupi wanataka umaarufu kupitia hiyo timuMimi Taifa Stars nimeshaitoa kwenye list ya timu ntakazoshangilia , kitendo cha Waziri kwenda front na yeye kutaka auze jezi mtaani kimetoa morari yangu juu ya hii timu. Kwa sasa hata wakitaka kuweka sura ya mama kwenye jezi waweke kabisa au kuweka jembe na nyundo waweke pia.
Kuna mihela hapo. Kushinda hakumsaidii loloteMimi Taifa Stars nimeshaitoa kwenye list ya timu ntakazoshangilia , kitendo cha Waziri kwenda front na yeye kutaka auze jezi mtaani kimetoa morari yangu juu ya hii timu. Kwa sasa hata wakitaka kuweka sura ya mama kwenye jezi waweke kabisa au kuweka jembe na nyundo waweke pia.
Kwenda wapi mboni sijasikia kelele jana?Kwani Taifa stars si imefuzu?
Mda siyo mrefu kitamlamba wakina bashe,kigagwala walikuwa wabishi ila sasa wako wapMwanaFA alipaswa kuwa full minister kuliko makonda.
FA ni mtulivu, ana hekima na Elimu kuliko Makonda.
FA ana Masters yake unquestionable kabisa.
FA Age 47
Sio mlevi wa umaarufu, He has been famous since 2002.
Makonda sasa, ulimbukeni yeye, mihemuko yeye, uhasama na watu yeye, Elimu ya kimanyoka-nyoka yeye,
Yeye ni wa 1982...
Uteuzi wa huyu Makonda utazamwe upya