Replica
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,681
- 8,887
Mbunge wa Pangani na waziri wa maji, Juma Aweso leo amefika bungeni na wake zake wawili, wametambulishwa na spika Tulia wakiwa wamekaa pamoja kwa bashasha tele. Meza za Bunge zimegongwa mpaka zinataka kupasuka zikichagizwa na vigelegele kutoka kwa wabunge wanawake, nikajiuliza waheshimiwa wabunge ndio wanapenda ndoa za wake zaidi ya mmoja kwa kiasi hiki🤣
Ukiweza kuwa Rais natarajia Taifa kuwa na 'First ladies'
Wake wa Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, kushoto ni Bi. Zainabu Abdallah na Kauthari Tarimo wakiwa wamesimama baada ya kutambulishwa na Spika Tulia Ackson wakati wa mjadala wa hotuba ya Wizara ya Maji kwa mwaka wa fedha 2022/2023.