Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
Kwa sehemu kubwa Wilaya nyingi hapa nchini zina Mabaraza ya Ardhi yanayoshughulikia migogoro ya ardhi.
Hivi karibuni yameundwa mabaraza mapya ya Ardhi kwa lengo la kukidhi mahitaji kwa wilaya kadhaa.
Lakini tatizo linalojitokeza ni uhaba wa wenyeviti katika mabaraza mapya yaliyoundwa na hata ya zamani.
Unakuta wenyeviti waliopo katika mabaraza ya zamani wanafanya rotation katika mabaraza mapya na yao ya zamani
Hili ni tatizo kubwa kwani linatengeneza mrundikano wa kesi (backlog of cases).
Suluhisho hapa ni kuajiri wenyeviti wapya wa mabaraza.
Kama bajeti ya Wizara itaruhusu, serikali iliangalie hili.
Niwatakie Kazi njema.