Waziri na Wizara ya Mambo ya Nje wanashindwa majukumu yao: tit fot tat na Kenya

Labda ukubwa wa kutuletea mirungi.lkn bidhaa zote zilizokua tunategemea kutoka Kenya kwa sasa tunaviwanda vinazalisha hapa TZ na baadhi zinatoka China.
Hata kama sasa tunazalisha na blah blah zingine, lakini bado tunahitaji uhusiano mwema na majirani zetu iwe Kenya, Uganda,Rwanda Burundi Zaire Zambia Malawi na Mozambique .
Kenya waache utoto na sisi tuache utoto.
Zitengenezwe protocol za mtu gani anaruhusiwa kuingia ktk nchi hizi toka nchi nyingine kufuatia huu ugonjwa wa covid 19 na sio kusema fulani anaficha ukweli au data.
Data za Tz, Kenya unazitakia nini??
Kenya iseme tu mtu akitaka kuingia toka nchi yeyote standard zetu ni hizi na wao wakita kwenda nchi zingine wafuate protocol za nchi husika
 
Ni ufinyu wa akili kufikiria kwamba mapambano ni kati ya watu wawili.
Be broad minded na iingie akilini mwako kuwa Tanzania na Kenya ina watu zaidi ya 90million ambao mustakabali wao ni maendeleo kupita ushirikiano.
Period.
Thinking otherwise is lunacy.
 
Kwa nini hamtaki kusema ukweli kuwa tatizo ni Magufuli? Magufuli amezoea kutumia nguvu bila akili kitu ambacho ni sumu mbaya sana kwenye uongozi. Hata alivyojaza wanajeshi kwenye viongozi anaowateua ni kiashiria cha jinsi anavyodhani nguvu na amri ndiyo suluhu la kuongoza. Aina ya uongozi wake ilishapitwa na wakati. Nguvu, ubabe na amri vilitumika sana miaka ya 50, 60 na 70 lakini baadae ikagundulika siyo njia sahihi ya kuongoza.
 
Hayo ndio matokeo ya failure in diplomacy.
Umahiri wa diplomasia ni kuyatatua matatizo kabla hayajatokea and not the other way around.
Ndege zetu zimezuiwa zisiende kuambukiza korona kenya, hizo za kwao zikiruhusiwa kuja huku haziwezi kuondoka na hiyo korona kupeleka huko?! Diplomasia zenu uchwara ndizo zimeruhusu wageni kukomba maliasili zetu miaka yote kama hatuna akili.
 

Jirani ambaye ni nongwa utafanya nini? Wanataka Dunia ione Tanzania ni nchi inayo minya uhuru wa vyombo vya habari na inatoa tarifa za uongo za corona. Inataka kuonesha hata cheNkapa kadondoshwa nayo. Jirani anaye agiza mahindi Mexico wakati hapa yako ya kumwaga!!

Kenya tunatakiwa tuwasaidie ili tuishi nao kwa amani. Tatizo la Wakenya ni ruling class yao, Wakikuyu, hapa ndiko tatizo lilipo. Na mbinu yao wanayo itumia kuwatawala wenzao ni devide and rule. Ndicho wanachotaka kuja nacho EAC, watugawe na Waganda na Wanyaruanda watutawale EAC.

Tuwasaidie Wakenya wa makabila mengine wajitambue waungane na kuwaisolate Wakikuyu kiaina maana watakosa nguvu itabidi wa submit na Kenya itakuwa jirani poa sana tu.
 
Kenya wamezoea yes yes presidents kwa sasa wamepata size yao Magufuli baba lao.
Huki nyuma migogoro kati ya Kenya ndio ilisababisha Tanzania kujenga viwanda vyake wakati wa Mwl.Nyerere. Sasa ni fursa kujenga viwanda vyetu na kufufua vilivyosimama.
 
Tuwaoleee tu Dada zao, nasikia wanapenda sana Wanaume wenye ndevu
 
Ulichoongea ndo sahihi,ila Kenya wao wanajiona kwa nchi za EAC wao ni super power.nchi zingine zote takataka.
sasa dawa yao ni kujibu mapigo matakatifu.
 
Ndege zetu zimezuiwa zisiende kuambukiza korona kenya, hizo za kwao zikiruhusiwa kuja huku haziwezi kuondoka na hiyo korona kupeleka huko?! Diplomasia zenu uchwara ndizo zimeruhusu wageni kukomba maliasili zetu miaka yote kama hatuna akili.
Busara na akili nzuri zaidi ni kuishi na jirani yako vizuri, kuelezana matatizo yanayowakabili kwa ustaarabu na hekima.
Thats part of diplomacy if you are not aware.
 
Busara na akili nzuri zaidi ni kuishi na jirani yako vizuri, kuelezana matatizo yanayowakabili kwa ustaarabu na hekima.
Thats part of diplomacy if you are not aware.
Unaishije vizuri na jirani asiye mstaarabu wala kuwa na hiyo heshima. Labda ukubali ku-surrender uhuru wako kwake.
 
Unaishije vizuri na jirani asiye mstaarabu wala kuwa na hiyo heshima. Labda ukubali ku-surrender uhuru wako kwake.
Kati ya ma genius katika diplomacy in Dr Henry Kissinger, waziri wa mambo ya Nje wa Marekani kipindi cha Nixon.
Ile shuttle diplomacy yake ili saidia kutengua proxy war kule Vietnam , kati ya China/Urusi on one side na Marekani on the other side.
Pande zote mbili za mgogoro walikufa vijana wengi sana.
Kuongea maneno mezani hakujawahi kumuua mtu.
 
Ukubwa jinga wao usitufanye watupande vichwani mwetu, Tz ni Taifa huru na maendeleo yetu yanawategemea sana watanzania wenyewe na si hao vibaraka,waendelee tu na upuuzi wao tuone nani atakayeloose zaidi.

Sijaelewa kupaniki kwako kuna maana gani. Kama tulivyo huru na wao wako huru. Sisi tulisema kwetu hakuna corona na wao wameendelea kuonesha kwao ipo na maamuzi yao na yetu yameheshimiwa.

Tusichojua sisi ni kuwa corona katika anga za kimataifa ni tofauati kabisa. Njia za kupambana nayo ni tofauti na za nyumbani. Wakati hatuko katika list ya Kenya, tuko kwenye list ya UAE ikitutaka kufanye sawa sawa na inavotaka Kenya kwa mataifa 11 ya kwanza!! Tunatakiwa kupimwa ndani ya masaa 96 na tukifika Dubai pia tunapimwa kuthibitisha. Hii ndio itakuwa hali ya huko duniani. Wanatuchukulia kama tumezembea katika vita na corona!!

Tusibaki kulaumu!! Tuchukue hatua za kujiandaa kupima wasafiri wa kuja ndani na kwenda nje!! Ili tusiambukize au kuambukizwa!! Swala hili sio Kenya tu, ndio safari za kimataifa zitakavikuwa. Unafahamu chochote kuhusu cheti cha chanjo ya homa ya manjano???
 
Tutaelewana taratibu taratibu tyuuh, acha tuoneshane makali.
 
Naona una huruma sana na wakenya, hamia kwao.

Haiwezekeni mtu kakuchokoza yeye halafu wewe uliyechokozwa uwe wa kwanza kuomba msamaha. Ni ujinga

Kama unaumia na huo uamzi nenda kwa wakenya wao si ndo unaona wastaarabu sana.
Hii nchi ina endeshwa kama mgahawa wa mama ntilie. Badala viongozi kufuata diplomasia wana fuata hisia binafsi. Kwamba kama huyu kafanya hivi na mimi nafanya hivi. Ndii raha ya maprof wa halalani.
 
Ccm hoyeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…