Hata kama sasa tunazalisha na blah blah zingine, lakini bado tunahitaji uhusiano mwema na majirani zetu iwe Kenya, Uganda,Rwanda Burundi Zaire Zambia Malawi na Mozambique .Labda ukubwa wa kutuletea mirungi.lkn bidhaa zote zilizokua tunategemea kutoka Kenya kwa sasa tunaviwanda vinazalisha hapa TZ na baadhi zinatoka China.
Kenya waache utoto na sisi tuache utoto.
Zitengenezwe protocol za mtu gani anaruhusiwa kuingia ktk nchi hizi toka nchi nyingine kufuatia huu ugonjwa wa covid 19 na sio kusema fulani anaficha ukweli au data.
Data za Tz, Kenya unazitakia nini??
Kenya iseme tu mtu akitaka kuingia toka nchi yeyote standard zetu ni hizi na wao wakita kwenda nchi zingine wafuate protocol za nchi husika