Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
I
Hahaa wahuni wanajifanya kujali sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaa wahuni wanajifanya kujali sana
Labda huelewi "voda na wenzake" kwanini zipo. Hujawahi kukaa foleni ya kungoja kupiga simu siku tatu au ku book kupiga simu halafu unaipata baada ya wiki.Akipewa Rostam huduma itakuwa ya kinyonyaji tu kama ilivyo kwa hao akina Voda na wenzake.
Mwenye mamlaka ya kusimamia utendaji TRA ni nani😀?Watanzania tunashinwa kuutumia mkonga wa fiber optics ipaswavyo ni "fasster" kuliko mawasiliano ya Elon Musk na umesambazwa Tanzania nzima, bomu ni TTCL.
TRA inahusika na mambo ya kodi tu.Mwenye mamlaka ya kusimamia utendaji TRA ni nani😀?
Nilitaka kumaanisha TTCL?TRA inahusika na mambo ya kodi tu.
Waziri Nape Nnauye amesema hawajaibania Starlink kutoa huduma ya intaneti nchini bali ni kuwa Kampuni hiyo inayomilikiwa ns tajiri Elon Musk haijakidhi vigezo ilivyowekewa na serikali ikiwamo kufungua ofisi nchini Tanzania.
Amesema vigezo hivyo vimewekwa na serikali ili kumlinda Watanzania watakotaka kutumia huduma hiyo.
====
Nape pale hakuna kitu mimi nawashangaa watu wanajimaliza kwa kutoa lawama.Tatizo na Nape kila kitu siasa! Sasa Siasa inaingia vipi hapa. Ruto yupo huko California anaongea ili sehemu za vijijini Kenya wapate mtandao wewe unaongelea siasa na madongo ya kitoto. Ni lini umeenda California kukutana na kampuni za kule kama Uber, Tesla, Facebook, Oracle....... badala ya kujaribu kuongea na machawa kila siku
Jamaa wanajifanya wana upendo sana na Mtanzania [emoji1787] inapofikia swala la maslahi yao kuguswa. Hili halina tofauti na tabia ya mama wa kambo kujifanya anakupenda pindi ndugu zako wakija na kukupakulia minyama wakati kitendo cha ndugu kuondoka tu utapigwa kabichi marage hadi uchakae.
Tz inavigezo viwezavo kum overweigh huyo jamaa?Waziri Nape Nnauye amesema hawajaibania Starlink kutoa huduma ya intaneti nchini bali ni kuwa Kampuni hiyo inayomilikiwa ns tajiri Elon Musk haijakidhi vigezo ilivyowekewa na serikali ikiwamo kufungua ofisi nchini Tanzania.
Amesema vigezo hivyo vimewekwa na serikali ili kumlinda Watanzania watakotaka kutumia huduma hiyo.
====