Waziri Nape: Hatujaibania starlink kutoa huduma ya intaneti, Elon Musk bado hajakidhi vigezo tulivyomuwekea

Waziri Nape: Hatujaibania starlink kutoa huduma ya intaneti, Elon Musk bado hajakidhi vigezo tulivyomuwekea

Sasa hata ungekua wewe ungekubali mtu aje kutia nchanga Tumbua lako na wewe upo tu
NI KUSAGA KUNGUNI TU ELON ASIINGIE AKALETA NZI KWENYE BIASHARA ZETU
 
Asa muekezaji akipewa masharti mnalalamika angepewa hio tenda pia mngelalamika kua nchi imeuzwa nyie ni ma abunuasi wakubwa
Bisheni kwa hoja
 
Akipewa Rostam huduma itakuwa ya kinyonyaji tu kama ilivyo kwa hao akina Voda na wenzake.
Labda huelewi "voda na wenzake" kwanini zipo. Hujawahi kukaa foleni ya kungoja kupiga simu siku tatu au ku book kupiga simu halafu unaipata baada ya wiki.
 
Watanzania tunashinwa kuutumia mkonga wa fiber optics ipaswavyo ni "fater" kuliko mawasiliano ya Elon Musk na umesambazwa Tanzania nzima, bomu ni TTCL.
 
Watanzania tunashinwa kuutumia mkonga wa fiber optics ipaswavyo ni "fasster" kuliko mawasiliano ya Elon Musk na umesambazwa Tanzania nzima, bomu ni TTCL.
Mwenye mamlaka ya kusimamia utendaji TRA ni nani😀?
 
Eti hajakidhi vigezo tuliyomuwekea

[emoji1]

Ova
 
Waziri Nape Nnauye amesema hawajaibania Starlink kutoa huduma ya intaneti nchini bali ni kuwa Kampuni hiyo inayomilikiwa ns tajiri Elon Musk haijakidhi vigezo ilivyowekewa na serikali ikiwamo kufungua ofisi nchini Tanzania.

Amesema vigezo hivyo vimewekwa na serikali ili kumlinda Watanzania watakotaka kutumia huduma hiyo.

====

Tatizo na Nape kila kitu siasa! Sasa Siasa inaingia vipi hapa. Ruto yupo huko California anaongea ili sehemu za vijijini Kenya wapate mtandao wewe unaongelea siasa na madongo ya kitoto. Ni lini umeenda California kukutana na kampuni za kule kama Uber, Tesla, Facebook, Oracle....... badala ya kujaribu kuongea na machawa kila siku
 
Nape pale hakuna kitu mimi nawashangaa watu wanajimaliza kwa kutoa lawama.

Unawezaje kumlaumu mtu kama Nape wa ccm ?
 
Tatizo Elon kaja na shati la mikono mifupi kwenye nchi ya kitu kidogo.
1695056233438.jpg
 
Jamaa wanajifanya wana upendo sana na Mtanzania [emoji1787] inapofikia swala la maslahi yao kuguswa. Hili halina tofauti na tabia ya mama wa kambo kujifanya anakupenda pindi ndugu zako wakija na kukupakulia minyama wakati kitendo cha ndugu kuondoka tu utapigwa kabichi marage hadi uchakae.

Hii nchi ina viongozi wa hovyo
 
Waziri Nape Nnauye amesema hawajaibania Starlink kutoa huduma ya intaneti nchini bali ni kuwa Kampuni hiyo inayomilikiwa ns tajiri Elon Musk haijakidhi vigezo ilivyowekewa na serikali ikiwamo kufungua ofisi nchini Tanzania.

Amesema vigezo hivyo vimewekwa na serikali ili kumlinda Watanzania watakotaka kutumia huduma hiyo.

====
Tz inavigezo viwezavo kum overweigh huyo jamaa?
 
Back
Top Bottom