Waziri Nape: Hatujaibania starlink kutoa huduma ya intaneti, Elon Musk bado hajakidhi vigezo tulivyomuwekea

Kila huyu jamaa akifungua kinywa chake kuongea lawama zangu nazipeleka kwa Maulid Kitenge.
Alifanya kosa kubwa sana kumzuia yule jamaa kumpa za kichwa huyu mpuuzi pale St. Peters.
Ndio maana nasema kwann tunamshambulia nape wakumshambulia ni Yule usalama alietumwa na kumtolea nape bastola angemtwanga moja Leo pengine tungekua tumepunguziwa shida moja tubakize zingine tu
 
Starlink ikipata access moja ya nchi za Afrika Mashariki mchezo utakuwa umekwisha. Na ikishindikana tutanunua simu za starlink halafu tutahotspot vifaa vyetu iwe ofisini au nyumbani.

Dunia ni kijiji sasa huwezi kwenda kama uko peke yako. Halafu nyie tuliowapa dhamana ya kuongoza hii nchi.............. Au basi.
 
Mnyonge mnyongeni lkn haki yake mpeni jamani.

Nape bado ni yule yule mzee wa goli la mkono kama taifa hatuwezi kusahau hilo tukio la aibu.

Ila leo hii nimekuja na mawazo yake aliyo yasema jana kupitia EATV kuhusu kupata katiba mpya.

Amesema kuwa kupata katiba mpya bila UTASHI WA KISIASA kama taifa haitasaidia kitu.

Mimi nimenuelewa sana na akatoa mifano mingi iliyo hai naomba tumsikilize hapa alafu tupeane mawazo.

Your browser is not able to display this video.
 
Legal frame work is everything.

Presidential power ikiwa limited kujiamulia mambo anavyotaka ingetuepusha na hayo ya miaka 6 iliyopita... pengine bas rais angekuwa anavunja katiba na controls zake zingekuwepo.

Hoja za mikutano ya siasa kwa katiba iliyopo na mamlaka ya rais still is not clear to date
 
Basi atachelewesha tu ila mwisho wao ushafika.
 
Mwambie Nape na wewe pia ujue, utashi wa kitaifa ulipatikana wakati ule Tume ya Mzee Warioba ilipozunguka nchi nzima kukusanya maoni ya watanzania mwishowe ikaandika ile Rasimu ya Katiba iliyokuwa bora kabisa kuwahi kutokea kwenye historia ya nchi yetu.
 
Nimekuelewa mkuu lkn hapa nadhani Nape amekusudia upande wa uongozi ulio madarakani kuwa willing na hiyo katiba mpya.

Naamini kwa wananchi kama taifa tupo tayari kabisa.

Ebu rudia kumsikiliza Nape anapotoa mfano wa miaka 6 iliyopita ana maana kubwa sana.

Kama uongozi wa nchi uliopo madarakani haujawa tayari kwa kuipokea hiyo katiba mpya hakuna kitakacho fanikiwa.

Ndiyo maana Jiwe alipiga pini shughuli za siasa kwa utawala wake.

Lkn leo hii mama Samia karuhusu tu
 
Katiba bora likiwa takwa LA wananchi wanasiasa hawatakuwa na ubavu wa kuizuia.
Chadema walikuwa na nafasi ya kufanya hiyo shift lakn mikutano yao imeshindwa kuhamisha hitaji lA katiba kutoka kwa wanasiasa kuwa la wananchi. Licha ya kuwa wanamwezi sasa tangu waanze mikutano lakin RAIA hawajapata mzuka wa katiba bora
 
Wasirra ameshasema Sera ya CCM ni Serikali 2 na hakuna Utawala wa Majimbo

Mzee Wassira ni Mnec anayeaminika mno na Chama na kwa sasa ndiye anaongoza Maridhiano ya Chadema na CCM
 
Uzao wa mwanamke mmakonde umejaa unafiki sana sana, aliefunga Bunge live ni yeye aliefanya uhuni mwingi kisiasa ni yeye aibu sana
 
Tangu Chadema waanze mikutano hawajatimiza mwezi, mikutano ilianza wiki iliyopita huko nyanda za juu kusini, naona umeshindwa kutofautisha uzinduzi ni nini, kilichofanyika Mwanza ni uzinduzi na kumbuka nilisema watakuja toa ratiba ya mikutano rasmi na Mwanza itakuwemo.
 
Baada ya Mikutano ripoti mnakabidhi wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…