Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana nasema kwann tunamshambulia nape wakumshambulia ni Yule usalama alietumwa na kumtolea nape bastola angemtwanga moja Leo pengine tungekua tumepunguziwa shida moja tubakize zingine tuKila huyu jamaa akifungua kinywa chake kuongea lawama zangu nazipeleka kwa Maulid Kitenge.
Alifanya kosa kubwa sana kumzuia yule jamaa kumpa za kichwa huyu mpuuzi pale St. Peters.
Ten percent mkuuKigezo muhimu itakuwa ni kile pendwa cha kutoa taarifa za wateja
Hapo ana commission yakeNauye yupo hapo kulinda maslahi ya genge lao just imagine kutoka gb moja buku mpaka buku mbili jero
Ila Kwa taarifa za wateja kumbuka Melo alihukumiwa. Voda, Tigo na Airtel walikuwa na yao kesi ya mwamba.Ten percent mkuu
Mpumbavu mwenzakoNape ni Makini sana
Ndio maana huwa nawasaidia watu ofisini kukwepa kodiTanzania hatuna Rais, kwa kweli tumepatikana
Basi atachelewesha tu ila mwisho wao ushafika.Starlink wanatumia Internet yenye speed 50 Mbps mpaka 200 Mbps kitu ambacho makampuni mengi wapo chini ya hii kasi kwa sasa Nchi ya Ukraine pamoja na kupigwa mabomu minara yao wanatumia hiyo zile mambo za minara zinafutika kitu ambacho Nchi zinazokumbatia wezi ni ngumu kuruhusiwa na pia 2023 wanakuja na mfumo wa simu pia kitu ambacho hawa Wanyonyaji lazima wafunge mitambo yao hao jamaa wanatingisha hadi makampuni yanaoonyesha mpira maana watu wengi wataweza ku stream kwa gharama ndogo maana TVnyingi za sasa hivi ni za kisasa mfumo wowote zinakubali..
Huyu jamaa yenu aje na sababu ingine sio hiyo ya kizembe...
Nimekuelewa mkuu lkn hapa nadhani Nape amekusudia upande wa uongozi ulio madarakani kuwa willing na hiyo katiba mpya.Mwambie Nape na wewe pia ujue, utashi wa kitaifa ulipatikana wakati ule Tume ya Mzee Warioba ilipozunguka nchi nzima kukusanya maoni ya watanzania mwishowe ikaandika ile Rasimu ya Katiba iliyokuwa bora kabisa kuwahi kutokea kwenye historia ya nchi yetu.
Azam wanauza Malawi au Mozambique wana ofisi huko si mawakala tuu mambo ya Satellite nyumba ya nini anatuchelewesha kweli huyu jamaa..Watu wananunua satellite dish kutoka nje na kufunga hakuna ofisi hata 1
Uzao wa mwanamke mmakonde umejaa unafiki sana sana, aliefunga Bunge live ni yeye aliefanya uhuni mwingi kisiasa ni yeye aibu sanaMnyonge mnyongeni lkn haki yake mpeni jamani.
Nape bado ni yule yule mzee wa goli la mkono kama taifa hatuwezi kusahau hilo tukio la aibu.
Ila leo hii nimekuja na mawazo yake aliyo yasema jana kupitia EATV kuhusu kupata katiba mpya.
Amesema kuwa kupata katiba mpya bila UTASHI WA KISIASA kama taifa haitasaidia kitu.
Mimi nimenuelewa sana na akatoa mifano mingi iliyo hai naomba tumsikilize hapa alafu tupeane mawazo.
View attachment 2533330
Tangu Chadema waanze mikutano hawajatimiza mwezi, mikutano ilianza wiki iliyopita huko nyanda za juu kusini, naona umeshindwa kutofautisha uzinduzi ni nini, kilichofanyika Mwanza ni uzinduzi na kumbuka nilisema watakuja toa ratiba ya mikutano rasmi na Mwanza itakuwemo.Katiba bora likiwa takwa LA wananchi wanasiasa hawatakuwa na ubavu wa kuizuia.
Chadema walikuwa na nafasi ya kufanya hiyo shift lakn mikutano yao imeshindwa kuhamisha hitaji lA katiba kutoka kwa wanasiasa kuwa la wananchi. Licha ya kuwa wanamwezi sasa tangu waanze mikutano lakin RAIA hawajapata mzuka wa katiba bora
Baada ya Mikutano ripoti mnakabidhi wapi?Tangu Chadema waanze mikutano hawajatimiza mwezi, mikutano ilianza wiki iliyopita huko nyanda za juu kusini, naona umeshindwa kutofautisha uzinduzi ni nini, kilichofanyika Mwanza ni uzinduzi na kumbuka nilisema watakuja toa ratiba ya mikutano rasmi na Mwanza itakuwemo.