Rashidi Jololo
JF-Expert Member
- Sep 21, 2022
- 1,704
- 2,858
Tanzania hatuna Rais, kwa kweli tumepatikana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu waziri unge mruhusu Kwanza uone iyo huduma anatoaje kama ni magumashi ungepiga chini na kufatilia maswala ya ofisi lakini sio ivyo unavyo fanya.Umekuja vizuri sasa hiyo huduma ya Instagram utaipataje bila kuwa na mtoa hudumu wa internet?ambaye kwa sasa ni kampuni za simu zilizopo nchini!bila huyu hiyo huduma huwezi kuipata.kuipata hiyo WhatsApp unatumia miundombinu iliyopo wapi unapokuwa Tanzania?
Mambo ya kisheria sio mepesi hivyo kama mnavyotaka iwe!!
Hahaaa!!mkuu mimi ni mgonga nyundo tu mwenzako huku mtaani!!?ila nimesema tu kulingana na sheria zilizopo sasa!!kama nia ipo ni kuzibadiri tu,ila sasa wenye hisa kwenye makampuni hayo ndio wanaotuongoza je watakubali?!?TTCL ndio wenye mkongo wa taifa ni serikali,huko airtel karibu 51 % ni ya serikali!!Ndugu waziri unge mruhusu Kwanza uone iyo huduma anatoaje kama ni magumashi ungepiga chini na kufatilia maswala ya ofisi lakini sio ivyo unavyo fanya.
Mheshimiwa umemwekea jamaa vikwazo Sana nchi jirani hapa huduma zimeanza unge communicate kujua wanapataje huduma tafazali umeshindwa kutusaidia kwenye mb Kwa sasa bei Kali na hazikai kabisa,
Basi tusaidie hapa walau panaweza kua na unafuu tunaumia wananchi wako
Imagine gb 1 2000+.🙉🙉🙉
Sasa unaleta double standard, kwamba ili huduma ya Instagram ipatikane tunahitaji internet ya Airtel, si tunahitaji na device pia? Au 🤷🏽♂️Mkuu lala naona sasa umeishiwa hoja!!iphone au sumsung ni huduma?hiyo internet inaletwa na iphone?
Mbona ameshindwa kulinda haki za walaji(watumiaji wa internet) kwa makampuni ya nchini?Waziri Nape Nnauye amesema hawajaibania Starlink kutoa huduma ya intaneti nchini bali ni kuwa Kampuni hiyo inayomilikiwa ns tajiri Elon Musk haijakidhi vigezo ilivyowekewa na serikali ikiwamo kufungua ofisi nchini Tanzania.
Amesema vigezo hivyo vimewekwa na serikali ili kumlinda Watanzania watakotaka kutumia huduma hiyo.
====
Shangaa na wewe mkuu!sisi tunataka huduma, mambo ya ofisi yanakujaje sasa?
Mambo ya internate toka lini yakahitaji physical address!!??Waziri Nape Nnauye amesema hawajaibania Starlink kutoa huduma ya intaneti nchini bali ni kuwa Kampuni hiyo inayomilikiwa ns tajiri Elon Musk haijakidhi vigezo ilivyowekewa na serikali ikiwamo kufungua ofisi nchini Tanzania.
Amesema vigezo hivyo vimewekwa na serikali ili kumlinda Watanzania watakotaka kutumia huduma hiyo.
====
Ndio ujiulize viongozi tulionao wanafikiriaga nini vichwani mwao!?google, twitter, facebook, youtube wana ofisi hapa bongo?
Wanatafuta visngizio, Nape lazima mfuko umejaa kwa kutetea maswahiba wakeOfisi ina faida gani. Mtandao ndio shughuli zao, ukiwataka wanaptikana kila saa. Ofisi moja kwa dunia nzima. Hawa tatizo wanataka mambo ya kuzima data, na pia hawa wengine ie. Vod., airte., na wengine hawataki ushindani hapo.
Je,Nape kaisha tiwa mfukoni na hawa Voda na Tigo ambao wanajua akija Starlink mapato yao yatapungua sana!
Lkn niseme tu kusua sua kupewa leseni Starlink ambao wana bei nafuu na net bora ni matokeo ya akili mbovu za watz,ilipaswa tumlazimishe Nape asaini mkataba kwa nguvu ya UMMA
Sababu wanazo toa serikali ni za hovyo hovyo tu
Afadhali umeona mkuu. Viongozi tulionao hawajali kabisa Maslahi ya WtzMbona ameshindwa kulinda haki za walaji(watumiaji wa internet) kwa makampuni ya nchini?
Leo amekuwa na huruma sana ya kulinda wateja, hiyo huruma kaitoa wapi?
Baada ya kelele za mabando kupigwa kila sehemu, akasema mwezi wa pili (Februali), gharama za mabado zitaangaliwa upya!
Mpaka mwezi wa pili umeisha hajasema lolote na hakuna hata raia aliyekumbushia kauli hiyo ya Waziri!
Ndiyo kusema walishatuona sisi waTz wepesi sana kusahau na ni wapumbaf!
Huyu Waziri ni mtetezi mkubwa sana wa makampuni ya simu kuliko raia, Bungeni tulimuona jinsi anavyozikingia kifua.
Jambo lolote linalohusu unyonyaji wa makampuni ya simu kwa walaji, lazima asimame kidete kutetea bila ya soni.
Na hili la kumnyima kibali Star link, vimewekwa vigezo vya hila ili asiwekeze nchini ili tuendelee kukamuliwa na hizo kampuni za simu mumiani ambazo yeye ni mnufaika wake.
Kama hataki kuweka ofisi Tanzania, HATUFAI AENDE ZAKE SALAMA.Na akitimiza hivyo vigezo watamuwekea vigezo vingine vigumu ili ashindwe.
Kuwa na viongozi wafanyabiashara ni shida sana.
Usimuulizie yeye, wako wengi akina Riziwani na wengineo.Yaani hii nchi ina viongozi wa hovyo mpaka unataman hata kuhama nchi,hivi Nape kweli mpaka sasa bado yuko pale anafanya nini?
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Tunamlaumu Nape bure tu wakumlaumu ni Yule jamaa aliemtolea nape bastola kwanini hakumtwanga ya kichwa moja tu akatuondolea haya maviongozi ya ten percent ovyo kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi we nape ukiwekwa 1 or 1 na Elon
Unaweza kujadiliana mambo fulani fulani [emoji1]
Ova
Sio rahisi yaani serikali inakimeo chake mkonge wa taifa ambao tulipigwa kwa hela ndefuu na haujaleta tija yyte then wamkaribishe huyo starlink bongo.!Waziri Nape Nnauye amesema hawajaibania Starlink kutoa huduma ya intaneti nchini bali ni kuwa Kampuni hiyo inayomilikiwa ns tajiri Elon Musk haijakidhi vigezo ilivyowekewa na serikali ikiwamo kufungua ofisi nchini Tanzania.
Amesema vigezo hivyo vimewekwa na serikali ili kumlinda Watanzania watakotaka kutumia huduma hiyo.
====