Waziri Nape: Hatujaibania starlink kutoa huduma ya intaneti, Elon Musk bado hajakidhi vigezo tulivyomuwekea

Waziri Nape: Hatujaibania starlink kutoa huduma ya intaneti, Elon Musk bado hajakidhi vigezo tulivyomuwekea

Kama hataki kuweka ofisi Tanzania, HATUFAI AENDE ZAKE SALAMA.
Shughuli ya kimtandao, haiitaji physical addrress, ni ushamba. Maendeleo tutayasikia kwa wengine.
Kama wanaogopa usalama hivi hakuna vyombo vya kimataifa vinavyosimamia hili? Dunia imeshakuwa kijiji sasa hakuna haja ya kuendesha nchi kwa vigezo vya kimchongo kama hivi.
Hii ni sawasawa kitendo cha kuzuia bunge live eti kwa kuwa watu wataacha kufanya kazi waangalie bunge! Mtu huyu huyu mbeleni anakuja kurudisha bunge live kwa maelezo kibogoyo. Serikali ya ccm ndio inayofanya mazingira yetu yabaki kuwa duni. Kundi chache la wanasiasa ndio wanalamba asali na koo zao. Matokeo yake kila sekta wataalamu wanahaha kuziacha sekta zao kujiingiza kwwnye siasa. Hapa kama taifa kuna kitu hakiko sawa, tuache ushabiki maisha yetu yapo rehani. Waramba asali watanipinga mana nimegusa nyeti zao.😁😁
 
IWaziri Nape Nnauye amesema indauhawajaibania Starlink cmcakutoahuduma ya intaneti nchini bali ni kuwa Kampuni hiyo inayomilikiwa ns tajiri Elon Musk haijakidhi vigezo ilivyowekewa na serikali ikiwamo kufungua ofisi nchini Tanzania.
C vigezo hivyo vimewekwa na serikali ili kumlinda Watanzania watakotaka kutumia huduma hiyo

====
Sifa kuu ya mwanasiasa ni kujua jinsi ya kuupamba uongo. Nape analinda maslahi ya mafisadi wa CCM wanaomiliki mitandao ya simu
 
Ni mfumo wa ‘wana CCM wakongwe’ kulinda familia kwa kazi ya serikali!

Baba yake Nape alikuwa role model wa akina Lt Makamba,Col Kinana akina Lt Col JK ambao sasa wana nguvu mno ya maamuzi Tanzania, as long as JK na Kinana na Makamba wapo,Nape hawezi enda popote

Magu hakua mwana CCM elite ndiyo maana aliwafukuza watoto wa elites kama hawa.

Sometimes Magu alikuwa very right.
Mtamkumbuka sana japo wapo wanaodiss kutweza Ego zao ila Ngosha was appropriate leader on his prime. Kila mtu huwa ana flaws zake but when it came to Nationality and visionary JPM did the job.
 
Hawagusiki hao wana mizizi kila sehemu inabidi mama awe mpole tu wana chain kubwa hao magufuli na ujanja wake wote hapo alichemka

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Magufuli hajawahi chemka, aliwakaanga wote. The last card ilikuwa kumu eliminate tu tena kwa ujanja mno.
 
Mbona ameshindwa kulinda haki za walaji(watumiaji wa internet) kwa makampuni ya nchini?

Leo amekuwa na huruma sana ya kulinda wateja, hiyo huruma kaitoa wapi?

Baada ya kelele za mabando kupigwa kila sehemu, akasema mwezi wa pili (Februali), gharama za mabado zitaangaliwa upya!

Mpaka mwezi wa pili umeisha hajasema lolote na hakuna hata raia aliyekumbushia kauli hiyo ya Waziri!

Ndiyo kusema walishatuona sisi waTz wepesi sana kusahau na ni wapumbaf!

Huyu Waziri ni mtetezi mkubwa sana wa makampuni ya simu kuliko raia, Bungeni tulimuona jinsi anavyozikingia kifua.

Jambo lolote linalohusu unyonyaji wa makampuni ya simu kwa walaji, lazima asimame kidete kutetea bila ya soni.

Na hili la kumnyima kibali Star link, vimewekwa vigezo vya hila ili asiwekeze nchini ili tuendelee kukamuliwa na hizo kampuni za simu mumiani ambazo yeye ni mnufaika wake.
Ndio tofauti ya kiongozi kilaza na kiongozi smart aliyekuwa anashikilia ofisi kabla ya huyo. JPM alikuwa mtu wa maamuzi tu na laiti Elon Musk angeleta maombi kabla hajafa ungekuta tushasahau habari za wanyonyaji.

Maisha ni mepesi sana ila walamba asali KRKNM Cartel ndio inatengeneza huu ugumu uliopo kwa sababu zao za ubinafsi. Waliumia sana JPM alipokuwepo sababu alikuwa haangalii maslahi ya genge lao la kinyonyaji bali welfare ya raia zaidi.
 
Mtamkumbuka sana japo wapo wanaodiss kutweza Ego zao ila Ngosha was appropriate leader on his prime. Kila mtu huwa ana flaws zake but when it came to Nationality and visionary JPM did the job.
Mnyonge mnyongeni, haki yake >.........
Itachukua karne kumpata kiongozi atakayeweza kata mirija hii ya koo chache kufaidi keki ya taifa. Bila katiba madhubuti hakuna kitu hasa kwa Mitanganyika myoga híi, maendeleo tutayasikia kwa majirani. Angalieni hapo kenya, tuwape miaka 3 harafu tujilinganishe.
 
Ni vigezo gani hivyo?
Nape aviseme sasa, na wote tuvijue.
Kama Starlink imeweza kufanya kazi katika nchi nyingi hapa Afrika, sisi Tz tuna vigezo gani special kiasi cha starlink kushindwa kufikia.
Kwa Africa huduma ya startlik Iko nchi Moja ya Nigeria tuu.Mwamba anakutana vikwazo na serikali zenye mamlaka iliyojaa dhulmat
 
Mnyonge mnyongeni, haki yake >.........
Itachukua karne kumpata kiongozi atakayeweza kata nirija hii ya koo chache kufaidi keki ya taifa. Bila katiba madhubuti hakuna kitu hasa kwa Mitanganyika myoga híi, maendeleo tutayasikia kwa majirani. Angalieni hapo kenya, tuwape miaka 3 harafu tujilinganishe.
Hahahahahah Bongo katiba mpya ni death sentence kwa hio cartel. Japo nna amini 15 years ahead several gang members watakuwa wamesha perish hivyo ile nguvu ya ushawishi iliopo itakuwa imeshift upande mwengine.

Ndio maana inatumika nguvu kubwa sana kuhakikisha kabla katiba haijabailishwa vijana wao wote wawe wamepachikwa sehemu nyeti na kunyonya vya kutosha.
 
Tanzania pana wahuni waliwaita WhatsApp waone ni jinsi gani wanaweza kukusanya kodi kwa watumiaji wa WhatsApp hao WhatsApp wakaja kuwapa Elimu naona huo ujinga umepotea Nchi hii ina wajinga wengi na ndio wapo kwenye maamuzi na ndio hao hao wanakwamisha maendeleo...kukwamisha Technology ni kukwamisha maendeleo hawa watu wengine vile vyeo vya kupigia debe CCM ndio vinawafaa ila sio kitu kinachoshika Uchumi wa Nchi kila kukicha atatupeleka chaka na majibu kama ya yule Waziri wa Burundi..
 
Hahahahahah Bongo katiba mpya ni death sentence kwa hio cartel. Japo nna amini 15 years ahead several gang members watakuwa wamesha perish hivyo ile nguvu ya ushawishi iliopo itakuwa imeshift upande mwengine.

Ndio maana inatumika nguvu kubwa sana kuhakikisha kabla katiba haijabailishwa vijana wao wote wawe wamepachikwa sehemu nyeti na kunyonya vya kutosha.
Wafanye wafanyavyo siku ile inakuja; I can see it coming........
Kwa jambo hili uchama pembeni, kitaifa zaidi. Machawa wachawane vizuri, that day haitavuka, tutaikuta tu.
 
Starlink wanatumia Internet yenye speed 50 Mbps mpaka 200 Mbps kitu ambacho makampuni mengi wapo chini ya hii kasi kwa sasa Nchi ya Ukraine pamoja na kupigwa mabomu minara yao wanatumia hiyo zile mambo za minara zinafutika kitu ambacho Nchi zinazokumbatia wezi ni ngumu kuruhusiwa na pia 2023 wanakuja na mfumo wa simu pia kitu ambacho hawa Wanyonyaji lazima wafunge mitambo yao hao jamaa wanatingisha hadi makampuni yanaoonyesha mpira maana watu wengi wataweza ku stream kwa gharama ndogo maana TVnyingi za sasa hivi ni za kisasa mfumo wowote zinakubali..

Huyu jamaa yenu aje na sababu ingine sio hiyo ya kizembe...
 
Mkuu jaribu kuelewa ni vitu vidogo hivyo!!tofautisha njia za mawasiliano na huduma !!basi kama Instagram ni huduma ya mawasiliano kama unavyodai,usiweke bundle kwenye line yako ,then jaribu kuwasiliana!

Kwani hata Tv/Radio si zipo za nje lakini si zinasikika hapa nchini,kupitia njia mbalimbali,lakini kuna zile zinazorusha vipindi vyao kutokea studio zao zilizopo nchini na ni za kimataifa?!kuna sheria yake ambayo ni tofauti na zile unazozipata kupitia internet.
Mkuu unatetea kitu cha hovyo miaka ya nyuma Mzee Mengi alipigwa pin kuonyesha ITV Tanzania nzima ikabidi anunue TV kubwa na kuziweka baadhi ya mikoa hata daslm ilikuwepo hapo Mnazi mmoja wengi wetu mashindano ya CAF ambayo Nigeria alimfunga Zambia fainal tuliangalia kupitia msaada wa Mzee Mengi nae alikutana na hizi mambo za Chama ila huwezi kuzuia technology na wanaichelewesha tuu wapo watakaojua kuielewa na wataruhusu...n wazuiaji walikua na hoja ya kulinda Usalama wa Nchi kibali chake ilikua mwisho Pwani leo hicho kitu hakipo na tumesahau kama kilikuwepo...
 
Umekuja vizuri sasa hiyo huduma ya Instagram utaipataje bila kuwa na mtoa hudumu wa internet?ambaye kwa sasa ni kampuni za simu zilizopo nchini!bila huyu hiyo huduma huwezi kuipata.kuipata hiyo WhatsApp unatumia miundombinu iliyopo wapi unapokuwa Tanzania?

Mambo ya kisheria sio mepesi hivyo kama mnavyotaka iwe!!
Mkuu Watanzania na Elimu zetu za vidumu na mfagio vimedumaza Ubongo zetu sana..unakuta mtu anatumia nguvu kutetea ujinga
 
Back
Top Bottom