TikTok2021
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 690
- 1,060
Ndaga malafyale umeeleza ukweli kabisaNi mfumo wa ‘wana CCM wakongwe’ kulinda familia kwa kazi ya serikali!
Baba yake Nape alikuwa role model wa akina Lt Makamba,Col Kinana akina Lt Col JK ambao sasa wana nguvu mno ya maamuzi Tanzania, as long as JK na Kinana na Makamba wapo,Nape hawezi enda popote
Magu hakua mwana CCM elite ndiyo maana aliwafukuza watoto wa elites kama hawa.
Sometimes Magu alikuwa very right.
Magu was right sana yani angemaliza kipindi chake cha pili mambo Tz yangekuwa 🎂🍨🍦