Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kauli za kisiasa hazisaidii bila KUBADILI sheria za ovyo kwenye sekta ya mawasiliano,ni kazi bure tu.Waziri wa Habari na Teknolojia ya Habari Mhe Nape Nnauye ameiagiza TCRA kuyaagiza makampuni ya simu kusitisha upandishaji wa bei ya Vifurushi mpaka hapo watakapokaa na Serikali kuzungumza kuhusu jambo hilo.
Chanzo: DarMpya
Pia soma
- Gharama za vifurushi vya intaneti zapandishwa tena kimya kimya. Je, ni censorship ya aina yake?
View attachment 2090532
Waziri wa Habari na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye
Mpumbavu wewe kabla huyo unayesema mwenye roho mbaya kufa,vifurushi vilikuwa bei poa, kaja shangazi yako kavipandisha makusudi leo hii wanataka kuvishusha ili wapate wajinga kama nyinyi kuja kuwatukuza.Hahaha nimecheka kwa sauti.
Tunaongozwa na wenye roho nzuri.
Tarehe 17 March tufanye sherehe ya kushukuru utukufu wa Mungu kwa kutuondolea lijitu libaya pale ikulu.
Sasa nchi kimyaàaaaaa. Tumeanza kusahau Yale mabaya
Waziri wa Habari na Teknolojia ya Habari Mhe Nape Nnauye ameiagiza TCRA kuyaagiza makampuni ya simu kusitisha upandishaji wa bei ya Vifurushi mpaka hapo watakapokaa na Serikali kuzungumza kuhusu jambo hilo.
Chanzo: DarMpya
Pia soma
- Gharama za vifurushi vya intaneti zapandishwa tena kimya kimya. Je, ni censorship ya aina yake?
View attachment 2090532
Waziri wa Habari na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye
Hayo mambo ya vitabuni, kwa sasa karibu makampuni yote bei zinafanana na zimepandishwa na serikali wala si makampuni.Kwenye Market forces za demand and supply kila kampuni hulazimisha kuminimize cost na kumaximize profits
Consumer Ndio uwanja wa mapambano hahahaaaa!
Kwani kuhusu kushusha wameanza leo?Wenye roho nzuri wakishika madaraka nchi inajawa furaha.
Maneno tu; tukutane tena kwenye thread hii baada ya miezi sita. Makampuni ya simu siyo mali ya serikali.Wenye roho nzuri wakishika madaraka nchi inajawa furaha.
Hamna cha roho nzuri. Ccm ni ile ileWenye roho nzuri wakishika madaraka nchi inajawa furaha.
Hilo bando si limepanda baada ya yeye kuwa waziriWenye roho nzuri wakishika madaraka nchi inajawa furaha.