samsolo the great
JF-Expert Member
- Jul 9, 2021
- 750
- 1,086
Kwa ushauri tu waachane na mambo hayo ya kutrace watumiaji wa VPN ila wajikite kutafuta njia ni kwa namna gani tutapata maji ya uhakika na umeme wa uhakika.Hayo ndio mahitaji ya wananchi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utashi pekee alio nao Nape Nnauye ni unafiki na majungu.Hajanambia mtu, nimesoma comments za watu hapahapa JF.
Fursa zipo kila sehemu, hakuna VPN kuna mengine. Yeye mradi kafanya kazi kwa utashi wake.
Naunga mkono hoja 👍👏Waziri mpumbavu wa karne
Naunga mkono hoja 👍👏Hapa ngoja nimfahamishe, Nape kuna software siku hizi kama VPN lakini siyo VPN iliyozoweleka.
Sifahamu hiyo waiandikisha vipi?
Haya mambo ya mtandao, yeye angefanya kama nchi zingine, tena katoka India juzi, India wanazuwia mpaka VPN wasichotaka usione huoni na wanaweza kuku trace hata ukiwa nyuma ya VPN Bila kupigizana kelele na mtu
Hi teknolojia si mchezo, Wahindi inasemekana sijuwi simu Iphone haziingiliki, wahindi wanaingia tena njiani tu utamkuta mtu na kimeza chake na wanakubadilishia chochote unachotaka wanakupa mpaka IMEI mpya na simu yako ileile.
Wahindi usicheze nao kabisa kwa mambo ya IT.
Ngoja niongee nao nipige pesa za ghafla, niwape watu ki software ndogo tu, hakuna anaekuona wala kuku trace bila VPN.
Waislam wa bongo!SAtakuwa Muislam mwenzako huyo, hataki tutazame mitako ya bure.
Mawaziri wengi wametupwa na wakatiHapa ngoja nimfahamishe, Nape kuna software siku hizi kama VPN lakini siyo VPN iliyozoweleka.
Sifahamu hiyo waiandikisha vipi?
Haya mambo ya mtandao, yeye angefanya kama nchi zingine, tena katoka India juzi, India wanazuwia mpaka VPN wasichotaka usione huoni na wanaweza kuku trace hata ukiwa nyuma ya VPN Bila kupigizana kelele na mtu
Hi teknolojia si mchezo, Wahindi inasemekana sijuwi simu Iphone haziingiliki, wahindi wanaingia tena njiani tu utamkuta mtu na kimeza chake na wanakubadilishia chochote unachotaka wanakupa mpaka IMEI mpya na simu yako ileile.
Wahindi usicheze nao kabisa kwa mambo ya IT.
Ngoja niongee nao nipige pesa za ghafla, niwape watu ki software ndogo tu, hakuna anaekuona wala kuku trace bila VPN.
🙄Nape Nnauye ni kibwengo kweli kweli
🙄Huyu amekosa kazi za kufanya, akamtibu yule mama aliemvunja kiuno kwanz
Lakini ndo kipenzi cha Saa100 au ndo ndege wafananao
Pale mjinga anapojifanya ana akili kuliko wenye akili!View attachment 2786085
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema hilo linatokana na ongezeko la Wananchi zaidi ya 50% kutumia Intaneti ambapo kama kuna mtu ana mawazo ya hovyo atatamani kufanya majaribio yake huko, hivyo Serikali imekuwa ikitunga Sheria zitakazowalinda watumiaji wake.
Akizungumzia suala la Usajili wa Watumiaji wa VPN amesema suala hilo linafanyika ili kuwatambua Watumiaji wake pamoja na kuzuia uhalifu Mtandaoni na Serikali haiwezi kuacha kila mtu aingie kiholela na akafanya anachokitaka na tayari wapo Watu ambao wamefikishwa Mahakamani na wengine wamefungwa kutokana na matumizi yasiyo sahihi ya Mtandao.
Ameongeza "Tutaendelea kupafanya Mtandaoni kuwa sehemu salama kwasababu maisha ya sasa yanategemea Mtandao, usipofanya mtandao kuwa salama unafanya Nchi kutokuwa salama na msimamo wetu ni kwamba njia yoyote ya mawasiliano itumike ikiwa salama".
Hakika hapa umejibu.Kazi ya Mungu haina makosa.
Majitu yasiyo na akili kama Nape Ndio yanakabidhiwa vitengo nyeti kama hicho .Akili kisoda
Na actually VPN ina matumizi mengi , ina tumika kulinda secrecy zako unapokuwa mtandaoni , siku hizi internet imekuwa na criminals na wadukuzi wengi ambao wanaweza dukua information zako ,browsing history na data nyingine na kuzitumia kukublackmail , kudukua mifumo ya pesa ,au hata kuhatarisha maisha yako na usalama wako kwa kuzitumia au kuziuza kwenye black market na kwenda kutumika katika matukio ya kihalifu , kuna identity theft ,wire frauds nk .Nani kakwambia vpn inatumika kuangalia ngono? Ngono unaweza ukaangalia hata twitter au telegram bila vpn. Huyu kenge maji hajui kuwa kuna fursa kubwa kwenye proxy na vpn.
Nyeng.e zitakusababishia cardiac arrest wewe kikongweSAtakuwa Muislam mwenzako huyo, hataki tutazame mitako ya bure.
Hatuna waziri + hatuna serikali , hatujawai kua nayo toka uhuru, ni janja janja tu wanaleta hawa wazeeHakuna wazir pale