Na actually VPN ina matumizi mengi , ina tumika kulinda secrecy zako unapokuwa mtandaoni , siku hizi internet imekuwa na criminals na wadukuzi wengi ambao wanaweza dukua information zako ,browsing history na data nyingine na kuzitumia kukublackmail , kudukua mifumo ya pesa ,au hata kuhatarisha maisha yako na usalama wako kwa kuzitumia au kuziuza kwenye black market na kwenda kutumika katika matukio ya kihalifu , kuna identity theft ,wire frauds nk .
Ni hivyo hivyo hata Kwa companies na watu binafsi ,VPN ni privacy .
Na kitu kingine ni kujilinda dhidi ya serikali au mamlaka zinazoficha uhuru wa habari , kuna nchi hasa zinazominya uhuru wa habari na mawasiliano internet inazimwa tu makusudi na hilo ni disruption Kwa watu binafsi na taasisi binafsi ,kama wapuuzi ccm walivyofanya uchaguzi wa 2020 kuzima internet karibia mwezi mzima .
Makampuni na watu binafsi wanataka privacy .
Huyo mpumbavu kilaza NAPE ni mpuuzi .
Haya majitu sijui policies za kipumbavu kama hizi huwa yanaibuka nazo tokea wapi