Waziri Nape: Usajili wa VPN unafanyika ili kuwatambua Watumiaji wa Intaneti

Naunga mkono hoja 👍👏
 
Mawaziri wengi wametupwa na wakati

Waziri aliye katika uhalisia ni Mchengerwa peke yake!
 
Hili LINAPE ndio bingwa wa kuandika MATUSI huko TWITTER.

Lijitu lenye MATUSI kama NAPE linapata wapi ujasiri wa kujifanya anasimamia mitandao?

We NAPE tunaomba utuache kabisa, na safari hii ukiendelea kuvimbisha hilo BICHWA LAKO KAMA KONTENA watakusukumia bastola kwenye DONATI LAKO.
 
Pale mjinga anapojifanya ana akili kuliko wenye akili!
 
Huyu jamaa kaanzisha bifu na Kigogo sasa makasiriko analeta kwetu 😁

kwa taarifa yako mpaka muda huu na comment hapa VPN iko on
 

Attachments

  • IMG_0047.jpeg
    43.5 KB · Views: 3
Eti usajili wa VPN , Nape ni mpumbavu asiye jua hata maana ya VPN ni nini na purpose au matumizi yake ni yapi .
Nchi ambazo ziko restrictive kwenye free speech na survailance kwenye mifumo ya mawasiliano kama China wameshindwa kupambana na VPN ,itakuwa pimbi hao ?
 
Nani kakwambia vpn inatumika kuangalia ngono? Ngono unaweza ukaangalia hata twitter au telegram bila vpn. Huyu kenge maji hajui kuwa kuna fursa kubwa kwenye proxy na vpn.
Na actually VPN ina matumizi mengi , ina tumika kulinda secrecy zako unapokuwa mtandaoni , siku hizi internet imekuwa na criminals na wadukuzi wengi ambao wanaweza dukua information zako ,browsing history na data nyingine na kuzitumia kukublackmail , kudukua mifumo ya pesa ,au hata kuhatarisha maisha yako na usalama wako kwa kuzitumia au kuziuza kwenye black market na kwenda kutumika katika matukio ya kihalifu , kuna identity theft ,wire frauds nk .
Ni hivyo hivyo hata Kwa companies na watu binafsi ,VPN ni privacy .
Na kitu kingine ni kujilinda dhidi ya serikali au mamlaka zinazoficha uhuru wa habari , kuna nchi hasa zinazominya uhuru wa habari na mawasiliano internet inazimwa tu makusudi na hilo ni disruption Kwa watu binafsi na taasisi binafsi ,kama wapuuzi ccm walivyofanya uchaguzi wa 2020 kuzima internet karibia mwezi mzima .
Makampuni na watu binafsi wanataka privacy .
Huyo mpumbavu kilaza NAPE ni mpuuzi .
Haya majitu sijui policies za kipumbavu kama hizi huwa yanaibuka nazo tokea wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…