Papaa Mobimba
JF-Expert Member
- Jan 27, 2018
- 882
- 3,337
Matumizi ya kodi zetu yanatuvunja sana moyo kuendelea kuwajibika kuzilipa. Sasa hivi wananchi wakipata upenyo wa kukwepa watakwepa tu. Viongozi wapunguze matumizi ya anasa na ubadhilifu."Matumizi ya mashine za kielekroniki kwa ajili ya kodi na kutoa risiti bado imekuwa ni changamoto kwa wananchi, kwasasa utoaji wa risiti umekuwa kama punguzo la bei manake mtu asipopewa risiti anapunguziwa bei tofauti na akidai risiti jambo ambalo linasababisha bidhaa nyingi kuuzwa nje na bei inayofahamika na TRA na hapa nataka niwakumbushe watanzania kuwa suala la kodi sio la TRA peke yake ni jambo la watanzania wote"
View attachment 2918088
mpumbavu mamako, kuna tozo gani sahivi, ulitaka usichangie maendeleo ya nchi. Ukiona vyaelea vimeundwa we bwegeMmehamasisha matumizi ya cash kwa kuweka tozo za kipumbavu kwenye miamala ya kieletronic, vuneni matunda ya upumbavu wenu na huyo waziri weny wa fedha asiye na maono.
hamia Burundi we kengeHakuna anaependa kulipa kodi kwa nchi ambayo viongozi haaajibu kero sugu za wanamcnhi
Wakitaka cashless systems waondoe kodi na tozo zao.Mmehamasisha matumizi ya cash kwa kuweka tozo za kipumbavu kwenye miamala ya kieletronic, vuneni matunda ya upumbavu wenu na huyo waziri weny wa fedha asiye na maono.
Mtazame jinsi anavyosoma karatasi...hakuna element yoyote kwamba yupo serious.Tukwepe kodi kadri tuwezavyo
Serikali nzima inatumia vibaya kodi zetu, mkikusanya mnapanga safari za nje zisizokuwa na manufaa kwa taifa tena mnakwenda kwa mamia na machawa. Bora anayeweza kukwepa kodi afanye hivyo kwa ari mpya na kasi mpya."Matumizi ya mashine za kielekroniki kwa ajili ya kodi na kutoa risiti bado imekuwa ni changamoto kwa wananchi, kwasasa utoaji wa risiti umekuwa kama punguzo la bei manake mtu asipopewa risiti anapunguziwa bei tofauti na akidai risiti jambo ambalo linasababisha bidhaa nyingi kuuzwa nje na bei inayofahamika na TRA na hapa nataka niwakumbushe watanzania kuwa suala la kodi sio la TRA peke yake ni jambo la watanzania wote"
View attachment 2918088
Kenge niko Mtoni, Burundi wapo watu huko.ha
hamia Burundi we kenge