Waziri Ndalichako better late than never; Mikopo ya elimu ya juu hailipiki sababu ya Value Retention fee ya 6%

Hatulipi labda mtufuate majumbani na mkinifuata nahama sinza nahamia mpanda ndani ndani huko
Mkuu umenifanya nicheke sanaaaaa, me wakiendelea kunifwatilia ntaingia hapo Zambia nina ndugu wapo fwaaaaa🤣🤣🤣🤣, kila mtu ajue panavyouma, wenyewe wametutelekeza mitaani alafu waje kujichekesha tukipata🤣🤣🤣🤣🤣
 
Siwezi kukubali nidakwe kirahisi kama kuku lazima nipambane
 
kwani uaipolipa utanyongwa mzee?

madeni hayaishi hadi kifo
[emoji57]
 
Bodi ya mikopo ya elimu ya juu ni;
Source ya mapato ya serikali,
Ulikuwa haujui hilo, watakucheka watu
 
Mnyonge serikali hii ya awamu ya Tano ni;
1.Wamachinga
2.Bodaboda
3.Mamantilie....
Waliobaki Watumishi wa umma na Kadhalika nyie ni source ya Mapato ya serikali.. Serikali ya Awamu hii ni limbukeni wa mavitu vitu na sio utu wa MTU...
Ujinga wa awamu hii wanaabudu miradi miiingi kuliko uwezo wa Nchi na Walipakodi utadhani ndio Mwisho wa uongozi km vile Viongozi watakao kuja hawatajenga Barabara na miundombinu mingine...
 
Haya mambo ni kupokezana huwezi kufanya kila kitu kwa miaka 10. Fanya unapofikia waachie wengine
 
Kwani wao bodi ya mikopo wanasemaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…