cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Vipi cc hutaman kurudi shule ukapige pindi la history? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi cc hutaman kurudi shule ukapige pindi la history? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wee history ni paper 2 kwani hujui au? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kidato cha sita mitihani ya mwisho atafanya mitihani ifuatayo;-
1. Physics paper 3
2. Chemistry paper 3
3. Biology paper 3
4. BAM. Paper 1
5. GS paper 1
6. Historia paper 1
Jumla atafanya mitihani 12.
Waziri wa elimu, kiti ulichokikalia sio size yako. Hata hufai kuitwa Prof.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaahHawaondoi ng'ooo. Ulivokuwa unatamba na simu ya milioni moja mtoto wa kapukuu ulijua kulipa deni ni sherehee?? Lipeniiii haraka saana. Kama hutaki kulipa atakamatwaa guarantors wako. Haaaa haaaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Profesa anayesikia tu tamko la mkulu kuwa lianzishwe somo la Historia ya Afrika Kusini haipiti hata saa 24 tayari ashatangaza kuanzakwa somo hilo kuanzia la kwanza mpaka kidato cha Sita tena kwa Kiswahili ili mradi mkuu afurahi yaani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahKuna siku kama sijakosea alisema serikali kwenye makato ya heslb ina haki ya kukata ata mpka robo tatu ya mshahara.[emoji31][emoji31]
Njaa inaondoa heshimaKuna siku kama sijakosea alisema serikali kwenye makato ya heslb ina haki ya kukata ata mpka robo tatu ya mshahara.😫😫
Njaa inaondoa heshimaWabunge wa upinzani walionya mapema bungeni. Ndugai na viherehere wa Ccm wakaoitisha kwa wingi wao. Walidhani ina wahusu Chadema na Act wazalendo. Sasa wako wenyewe wana hadaa motion wameianzisha wao.
Bado records zipo. Hata Ndugai aki rest leo, bado historia ita mhukumu.
Unajiuliza kweli hii sheria ilitungwa na wasomi au kuna watu tu walijifungia ndani wakaamua yakuamua?Kwa kweli ni mtihani mkubwa sana!
Historia mpya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]Vipi cc hutaman kurudi shule ukapige pindi la history? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kutakua na comb ya PCH sababu ya history
Huyo bora asiajiriwe tu, maana deni lake now ni karibia mara 10 ya alichokopa
Profesa anayesikia tu tamko la mkulu kuwa lianzishwe somo la Historia ya Afrika Kusini haipiti hata saa 24 tayari ashatangaza kuanzakwa somo hilo kuanzia la kwanza mpaka kidato cha Sita tena kwa Kiswahili ili mradi mkuu afurahi yaa
Nani anataka kusotea pension NSSF miaka miwili?Yani wanafanya kazi ya kulinda vibarua siyo masilahi ya wananchi
Acha itunyonyeMikopo ya elimu ya juu hailipiki na huu ndio ukweli sababu ya ujinga wa Value Retention fee ya 6%.
Mfano: Mnufaika asiye na ajira rasmi anatakiwa kulipa 100000 au 10% ya kipato anachokilipia kodi kwa mwaka. Mimi nilifungua stationery walipokuja kunikadiria kodi nilitakiwa kulipa 200,000/= kwa mwaka.
Kwahiyo 10% yangu ni 20,000/= ndio natakiwa nilipe bodi kila mwezi. Mkopo wangu ni milioni 10. Nikilipa kwa mwaka nitalipa laki 2.4. Deni litabaki milioni 9 na laki 7 na sitini elfu.
Mwaka unaofuata hili litaongezeka kwa 6% ambayo ni sawa na laki 5 na point hivyo deni langu litarudi milioni 10 laki 3. Kwa hali hii nani atajileta kwa hiari?
Bado kuna wale vijana waliosoma nje ya nchi ada zao kwa dola kisha wakija nchini mishahara laki 7, unafikiri deni watamaliza?
Peleka muswada wa mabadiliko ya sheria ya HESLB ili tuone kama kweli elimu yako ya uprofesa ni genuine.
Muda bado upo.
Haaaa haaaaa. Basi aombe waongezee maaanaaa ni balaaa. Ila kipindi kile boom likitoka, ilikua shereheee. Haaaaa haaaa.
Hata Mimi mbona nilipata asilimia 100% wakati nilipokuwa na tetea kashahada kangu ka kwanza pale MUHAS 2013? haaaa haaaa tulipe deni haraka sanaaa.Mbona una chuki sana na sisi tuliopata mkopo?
Mkuu silipi kwa hizo value kamweeee😆😆😆,kama mnanisumbua nawambia hivi, miradi yote nitakayokuwa nayo ntaisajiri kwa jina la mtoto wangu aseee, ikiwezekana jina la dada yangu🤣🤣🤣Lipa madeni ya serikali na wengine wakope ili wasome kama wewe ulivyo someshwa. Kwani kuomba mkopo ulilazimishwa? Kama ulijua huo mchanganuo, kwanini hukukataa kuchukua huo mkopo? Umeanza kuleta michanganuo ya deni na ukali wake baada ya kuhitimu shahada yako. Unafahamu kuwa wapo ambao wamesitisha masomo baada ya kukosa huo mkopoo? Dawa ya deni nikulipa.
Unaonekana una chuki kali sana
+ Roho mbaya na ya kimasikiniUnaonekana una chuki kali sana