Waziri Ndalichako better late than never; Mikopo ya elimu ya juu hailipiki sababu ya Value Retention fee ya 6%

Waziri Ndalichako better late than never; Mikopo ya elimu ya juu hailipiki sababu ya Value Retention fee ya 6%

Physics
Chemistry
Biology
BAM
GS
HISTORIA
Hawa vijana hawatalisoma hilo somo
Kidato cha sita mitihani ya mwisho atafanya mitihani ifuatayo;-
1. Physics paper 3
2. Chemistry paper 3
3. Biology paper 3
4. BAM. Paper 1
5. GS paper 1
6. Historia paper 1
Jumla atafanya mitihani 12.
Waziri wa elimu, kiti ulichokikalia sio size yako. Hata hufai kuitwa Prof.
 
Wanapokea lakini badala deni lipungue linaongezeka......
Ndo madhala ya kukopaaa. Hukulifahamu hiloo?? Haaaa haaaaa. Ulivokua unakamua booom, uliona sherehe hadi unamiliki simu ya milioni moja mtoto wa kapuku, sasa ivi ndo akili imekujiaa?? Inachaje kulipika nawakati ulimiliki kabati ya milioni moja na nusu chumba chakupanga cha laki mbili kwa mweziii, kama haya yote ulifanya unashindwaje kulipa??? Tana fanya haraka sanaaa na wengine tukopeee
 
Kwahiyo hili hawalioni? Hebu fikiria kijana ambae hajaajiriwa tangia 2015 retention fee yake inasoma tu na hajui ataajiriwa lini
Tutumie common sense, wanasema akufaaye kwa dhiki ndiye rafiki. Huyu kajitolea, ajira ikitoka kuna maana gani kumuacha? Afterall huyu unamfahamu kuliko aliyekuwa akiuza viazi mtaani. Ndo maana watu kama kichwa kikubwa tunawaona zombi tu.
 
Kidato cha sita mitihani ya mwisho atafanya mitihani ifuatayo;-
1. Physics paper 3
2. Chemistry paper 3
3. Biology paper 3
4. BAM. Paper 1
5. GS paper 1
6. Historia paper 1
Jumla atafanya mitihani 12.
Waziri wa elimu, kiti ulichokikalia sio size yako. Hata hufai kuitwa Prof.
Inawezekana #4 na /au 5 ikachukuliwa au ikaunganishwa na #6?
Huenda wakafanya hivyo kwa ajili ya kuridhisha mawazo ya mtu mmoja tu.

Haya mambo huhitaji mjadala wa wataalam, leo hii ni maagizo tu toka kwa mtu mmoja; ambaye kaamuka tu asubuhi na kujaza tumbo lake, na hapo hapo akakumbuka yeye watamkumbukaje katika historia ya Tanzania!
 
Lipa madeni ya serikali na wengine wakope ili wasome kama wewe ulivyo someshwa. Kwani kuomba mkopo ulilazimishwa? Kama ulijua huo mchanganuo, kwanini hukukataa kuchukua huo mkopo? Umeanza kuleta michanganuo ya deni na ukali wake baada ya kuhitimu shahada yako. Unafahamu kuwa wapo ambao wamesitisha masomo baada ya kukosa huo mkopoo? Dawa ya deni nikulipa.
Unapingana na Ndugai spika wako?
 
Rudia kusoma alichoandika mkuu, pengine unaweza kuelewa na ukchangia kwa hoja nzuri na yenye mashiko.

Mleta mada hajakataa kulipa huo mkopo, anazungumzia changamoto ya retention fee na riba inayoongezeka kila mwaka kadri unavochelewa kuanza kurejesha mkopo, pamoja na ile Asilimia waliyopandisha kutoka 8% hadi 15%. Hivo vitu ni maumivu sana

Nadhani ungekuwa na mtoto anapata mateso ya huo mkopo usingeandika kwa kejeri namna hiyo.

Kuwa mstaarabu ndugu huenda wew ni mnufaika wa utawala huu kaa ukijua kuna wahitim wa vyuo vikuu wanasota kurudisha mkopo wa Bodi ya mikopo.

Kiufupi huo mkopo haulipiki, basi tu hujui adha tunayoipata.
Achana nae huyo mtoto wa mjomba kamleteni.
 
Acha 'kiherehere cha kijani' wewe!! Hujui sheria zilipitishwa na zikaanzia toka miaka yanyuma wakati makubaliano ya awali yamkopo hayakuwa hivyo?

Wapo hata walimu walokatwa mshahara ukabaki 90,000 wakaacha kazi.

Ndo madhala ya kukopaaa. Hukulifahamu hiloo?? Haaaa haaaaa. Ulivokua unakamua booom, uliona sherehe hadi unamiliki simu ya milioni moja mtoto wa kapuku, sasa ivi ndo akili imekujiaa?? Inachaje kulipika nawakati ulimiliki kabati ya milioni moja na nusu chumba chakupanga cha laki mbili kwa mweziii, kama haya yote ulifanya unashindwaje kulipa??? Tana fanya haraka sanaaa na wengine tukopeee
Unaonekana una chuki kali sana
 
Umeelewa mada yangu?
Wanufaika wasiokwenye ajira rasmi wakitaka kulipa 20000-30000 /month deni lao halitaisha sababu watakuwa wanalipa kidogo kwa mwaka kuliko thamani ya retention fee 6%.
Poor reasoning
Kwanini ucherewe kulipa nawakati ulikopa mwenyewe? Hiyo michanganuo hamkuiona? Siku zote kopa ukijua kuwa nimateso kulipa. Na hiii iwefundisho, watu wanadhani ule mkopo wa chuo kikuu ni msaadaa, na ndio maana hata zile fedha za kujikimu yaaani boom wanazitumia kwa anasa saana na wengine hadi zimewaua. Na wapo wengine tulikuwa tunawapa tahadhali ya matumizi mabaya ya zile fedhaa.

Hakuna kulia lia hapa tujiandae kulipa deni na wengine wakopeee. Ni memwelewa vizuri saaana mleta maada, kinachotafutwa hapa nikutaka wala kupunguziwa ukali wa deni. Tulipe madeni ya mkopo na wengine walipe.
 
Umeelewa mada yangu?
Wanufaika wasiokwenye ajira rasmi wakitaka kulipa 20000-30000 /month deni lao halitaisha sababu watakuwa wanalipa kidogo kwa mwaka kuliko thamani ya retention fee 6%.
Poor reasoning
Kwahiyo unataka waongezeweee ili kasi ya kupunguza deni ziwe kubwaa??? Safi saana tuishauriii bodi iongeze asilimia za makatoo. Safi saaanaaa.
 
Umeeleza vizuri; na ninakupongeza kwa juhudi hiyo ya kujituma na kufungua biashara.

Ila kuna mahala umeamua nawe kdanganya, nadhani kwa maksudi tu ili kulinda hoja yako:

Hii biashara yako ya 'stationary' hutaraji ikue mwaka hadi mwaka ili ikuongezee kipato?

Na utaendelea tu na biashara hii hii hata kama haileti mabadiliko yoyote katika kipato chako?

Unaanzisha mada nzuri, lakini unaamua mwenyewe kuivuruga!
Kukua au kutokukua inategemeana na soko. Nilikuwa na nia ya kupunguza deni taratibu ila kama hali iko hivi acha tutafutane tu hawapati shilingi yangu
 
Silipi sasa hadi waondoe ujinga wao wa value retention fee
Hawaondoi ng'ooo. Ulivokuwa unatamba na simu ya milioni moja mtoto wa kapukuu ulijua kulipa deni ni sherehee?? Lipeniiii haraka saana. Kama hutaki kulipa atakamatwaa guarantors wako. Haaaa haaaaa.
 
Wasiongeze makato wanaweza kufanya value retention fee ni 10% ya kiasi chote ulichokopa. Sio 6% kila mwaka
Kwahiyo unataka waongezeweee ili kasi ya kupunguza deni ziwe kubwaa??? Safi saana tuishauriii bodi iongeze asilimia za makatoo. Safi saaanaaa.
 
Raisi wa wanyonge Yuko busy kujenga stiglers gorge sijui na kununua ndege huku wananchi wakiteseka na Hali mbaya tena anazidisha mikodi kila corner mbaya kuna wapambe wanataka aongezewe mda Ili tuwe Kama zimbabwe ya mugabe
Hii miradi kweli itakamilika kabla ya 2025?
 
Back
Top Bottom