MICHAEL SON
JF-Expert Member
- Apr 17, 2020
- 458
- 536
Anza kufikiria na kulifahamu ili,,kwa ngazi ya kijiji Shule zipo chini ya Afsa mtendaji WA kijiji( CCM by default) ngazi ya kata zipo chini ya Afsa mtendaji kata(CCM by default) katika ngazi ya wilaya zipo chini ya Mkurugenzi( CCM by default).. Kwa utaratibu uliopo sasa ,,Mkuu wa shule haruhusiwi kuchangisha michango ,,,michango yote iratibiwe na kamati ya wazazi chini ya usimamizi wa watu nilio wataja hapo juu....Sasa hapa lawama kwa mwalimu zinaingilia mlango gani?.. kumbuka kitu kimoja,,mwalimu anaweza kuwa,,mkulima na mfanya biashara pia,,,so usimwekee shida ulizo nazo wewe!....Mzee jaranono! Watu wamenasa mikakati ovu.
Lengo lao walimu walio upande wa upinzani , wanata wawasumbue wazazi kipindi hiki kigumu na kuelekea uchaguzi mkuu.
Wanataka wawape wapinzani hoja baada yawapinzani kuishiwa hoja.
Zingatia kuwa, khari yafedha na chakula ningumu kwa wafanyakazi je! Kwa wakulima itakuwaje?
Mvua zimenyesha zaidi yakiwango! Wazazi wanategemea zao moja kwa chakula na kifedha!
Sasa wapinzani wanataka kuwatumia walimu (baadhi) kuwafitini wananchi na serikari ya ccm.
NB : Haya malalamiko yana tafasiri jinsi hali ilivyo mbaya mtaani hakuna pesa.. sasa ENDELENI KUSIFU NA KUABUDU
CCM OYEEEEEEEE,,,,MAGUFULI JEMBE SI JEMBEEE?