Enzi na Enzi
JF-Expert Member
- May 29, 2020
- 888
- 821
- Thread starter
- #81
We kuna mtu amekulazimisha kumpeleka hapo? We fanya kumuhamisha umpeleje shule inayoendana na unavyotaka. It's very simple.
Nyie walim naona nimewagusa penyewe! Mikopo ya mitaani imewakausha.
Kuna mtu hapa tunduru ana ATM card zenu kama 98 hivi!
Vyabure sio vizuri!! Mh alisema, pambaneni na khari zenu!
Mmetolea macho mpunga wa wakulima, mbona hamuombi mahindi???.
Limewakwama!
Nyie mmetumwa na mzee wa faru john ili wananchi waichukie serikari.
Zimebuma! Ulipo tupo.
Crdibi bank tunakujari.