Enzi na Enzi
JF-Expert Member
- May 29, 2020
- 888
- 821
- Thread starter
- #41
Duh. Huyo Mtoto wako anaakili kama yako?
Mwambie akachunge ng'ombe. Anapoteza muda shule.
Wakati mnapanga watu washapata taarifa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh. Huyo Mtoto wako anaakili kama yako?
Mwambie akachunge ng'ombe. Anapoteza muda shule.
Hapo kilo kumi mwano anauwezo wa kupata milo 40 tu, kumbuka ile 2000 ni ya kuni, mpishi mafuta na mboga. Sasa huna sababu za kulia kiasi hicho! Ukiona huwezi na utampatia mwanao fedha mfano mia tano kwa siku, kwa siku 40 ni 20,000!!! Jitambue kwa maslahi mapana ya mwanao
Una ushahidi wa huo wizi? mbona hata hawajaanza? au kuna kawaida hiyo?Hapa tatizo siyo michango! Niwizi km wizi mwingine,
Kama kila shule itaachiwa kujipangia mtasikia watu wameagizwa kupereka kuku mmoja kila mwanafunzi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka kwa sauti. Na hiyo ada hujaweka bima, computer facility n.kSasa akifika chuo ada milioni na nusu bado ajala ajalala si utaenda kupeleka malalamiko ikulu mzee.
Una ushahidi wa huo wizi? mbona hata hawajaanza? au kuna kawaida hiyo?
Embu tumia akili yako.Katika shule moja iliyopo wilaya ya Magu, ambayo ni Sekondari ya kata watoto wanatakiwa kupeleka kilo kumi za mchele kila mmoja, hayo ni maelekezo waliyopewa watoto kutuambia wazazi.
Shule ina wanafunzi wastani wa 2000×10 = kg 20,000/= na pesa tsh.2000@ mwanafunzi ambazo ni tsh. 4,000,000/=
Huu mchele ni kama tani 20
Na pesa 4ml.
Je, nimaelekezo ya Serikali?
Kuna mchezo siku hizi unatumiwa na walimu na baadhi ya kamati za shule, wanaita baadhi ya wazazi halafu wanadai wazazi walikubaliana,
Naomba Waziri uje na tamko maana sisi elimu bure siku hizi siyo elimu bure kwa kutumia mbinu hizi.
Tunaomba tamko maana naona walimu wanataka kupiga mchele na pesa kwa kigezo cha kuongeza muda wa masomo shuleni.
Embu tumia akili yako.
Unaamini kuna kitu cha bure kwenye hii dunia?
NB: Natarajia ujibu kwa kutumia akili maana umejiita mzazi.
Naona unauchungu sana na hizo 2,000 plus mchele 20kgs ambazo sisi wazazi pamoja na walimu tuliazimia kwa pamoja kwaajili ya chakula cha mchana kwa watoto wetu ili wakae shuleni hadi muda wa ziada kwaajili ya kusoma.N
Wewe ni miongoni mwa walimu mnaokesha baa na ndio walimu mnaokunywa pombe za mkopo baa
Sasa mnataka kutesa wazazi.
Lakini umeandika "elimu ya bure" au sio wewe?Issue siyo bure!
Unamtoto hapo? Au unapiga kelele tu?Tatizo sio kuchangia pesa au chakula kwa mtoto Ila tatizo hivyo vitolewavyo je vitatumika kwa mujibu wa maelezo na dhumuni ya watoaji!!!? Kumbuka vile vile ni muhimu kupata maelezo Kama ni maelekezo ya wizara ya elimu ukizingatia kauli mbiu ni elimu bure kwa kila mtoto wa mkulima wa nchi hii...
Sent from my itel S32 using JamiiForums mobile app
Naona unauchungu sana na hizo 2,000 plus mchele 20kgs ambazo sisi wazazi pamoja na walimu tuliazimia kwa pamoja kwaajili ya chakula cha mchana kwa watoto wetu ili wakae shuleni hadi muda wa ziada kwaajili ya kusoma.
Pole sana ndugu mzazi....[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi sio mwalimu chief, nina kijiwe cha shoes shine na ndio kinanipa jeuri hapa mjini...[emoji23][emoji23]Sikia ndg! Nyie walimu tunaishi nanyie huku mtaani, tunawajua A to Z.
Ndio nyie tunaowapa pesa za ziada kuwafundisha wtt wetu huku mtaani!
Ninachoweza kusema, km huwezi ukamfundisha mtoto kwa mda maarumu nihabari gani kwa mda waziada.
Au hujiulizi kwa nini serikari ilipiga marufuku tuitions *masomo ya ziada*
Nyie walimu upendo huu wa ua la waridi kuota juu ya mwamba umetoka wapi.
Nyinyi kwa nyinyi hampendani, kila siku mnachongeana! Km nyie wenyewe hampendani mnawezaje kupenda wtt wetu?
Huu umoja wenu nikwaajiri yakujinufaisha tu.
Kama ni korona imetuyumbisha wte, msitufanye kuwa kata wa kukaliwa na mizigo ya familia zenu.
Kumbuka walimu nisehem ya jamii tunayoishi nayo hivyo tunawajua.
Mimi sio mwalimu chief, nina kijiwe cha shoes shine na ndio kinanipa jeuri hapa mjini...[emoji23][emoji23]
Pole kwa maumivu mkuu, huko shule za St. Whatever uliwapeleka kwa hiyari yako mkuu....[emoji1787][emoji1787]
Ebu pambana na hali yako
Naona unazidi kupagawa mkuu wangu...[emoji38][emoji38]Wewe siyo fundi viatu! Hakuna fundi viatu mwenye hakiri za njaa hivyo.
Wewe ni mwalimu ambaye upo kwenye hizi team! Ukibisha naweka hapa jina lako, namba ya simu, na shule unayofundisha.
Tatizo nikwamba unajifanya fundi viatu kwa sababu ya kudharau kazi hyo ukidhani tutakuchukulia poa.
Kazi ya kushona viatu nikazi km kazi zingine zilivyo, naina watu wasomi kuliko ww unaedandia michango ya wazazi ili uendeshe maisha.
Note this.
Naona unazidi kupagawa mkuu wangu...[emoji38][emoji38]
Pole kwa maumivu unayo yapitia....[emoji23][emoji23]
Naona umekuwa very disappointed baada ya shule kugunguliwa wakati ada ulisha ikula...[emoji1787][emoji1787]
Naona umeelekeza hasira zako zote kwangu mimi mwalimu wa chekechea...[emoji28][emoji28]
Dahhhh.....Utabadiri sana fani!
Lakini Note huo ujumbe, usizani wte tuliopo hapa tunakurupuka kuandika,
Fatiria nyuzi zangu zte hum jf.
Watu km nyie tunawajua mpaka kwa uandishi. Yaani km nakuona vile[emoji497][emoji497]