Waziri Ndalichako tunaomba utoe tamko kuhusu mwongozo wa elimu baada ya shule kufunguliwa, kuna shule wamebuni michango yao

Waziri Ndalichako tunaomba utoe tamko kuhusu mwongozo wa elimu baada ya shule kufunguliwa, kuna shule wamebuni michango yao

Hapo kilo kumi mwano anauwezo wa kupata milo 40 tu, kumbuka ile 2000 ni ya kuni, mpishi mafuta na mboga. Sasa huna sababu za kulia kiasi hicho! Ukiona huwezi na utampatia mwanao fedha mfano mia tano kwa siku, kwa siku 40 ni 20,000!!! Jitambue kwa maslahi mapana ya mwanao

Hapa tatizo siyo michango! Niwizi km wizi mwingine,
Kama kila shule itaachiwa kujipangia mtasikia watu wameagizwa kupereka kuku mmoja kila mwanafunzi.
 
Una ushahidi wa huo wizi? mbona hata hawajaanza? au kuna kawaida hiyo?

Mzee jaranono! Watu wamenasa mikakati ovu.
Lengo lao walimu walio upande wa upinzani , wanata wawasumbue wazazi kipindi hiki kigumu na kuelekea uchaguzi mkuu.

Wanataka wawape wapinzani hoja baada yawapinzani kuishiwa hoja.

Zingatia kuwa, khari yafedha na chakula ningumu kwa wafanyakazi je! Kwa wakulima itakuwaje?

Mvua zimenyesha zaidi yakiwango! Wazazi wanategemea zao moja kwa chakula na kifedha!

Sasa wapinzani wanataka kuwatumia walimu (baadhi) kuwafitini wananchi na serikari ya ccm.
 
Katika shule moja iliyopo wilaya ya Magu, ambayo ni Sekondari ya kata watoto wanatakiwa kupeleka kilo kumi za mchele kila mmoja, hayo ni maelekezo waliyopewa watoto kutuambia wazazi.

Shule ina wanafunzi wastani wa 2000×10 = kg 20,000/= na pesa tsh.2000@ mwanafunzi ambazo ni tsh. 4,000,000/=

Huu mchele ni kama tani 20
Na pesa 4ml.
Je, nimaelekezo ya Serikali?

Kuna mchezo siku hizi unatumiwa na walimu na baadhi ya kamati za shule, wanaita baadhi ya wazazi halafu wanadai wazazi walikubaliana,

Naomba Waziri uje na tamko maana sisi elimu bure siku hizi siyo elimu bure kwa kutumia mbinu hizi.

Tunaomba tamko maana naona walimu wanataka kupiga mchele na pesa kwa kigezo cha kuongeza muda wa masomo shuleni.
Embu tumia akili yako.

Unaamini kuna kitu cha bure kwenye hii dunia?

NB: Natarajia ujibu kwa kutumia akili maana umejiita mzazi.
 
Embu tumia akili yako.

Unaamini kuna kitu cha bure kwenye hii dunia?

NB: Natarajia ujibu kwa kutumia akili maana umejiita mzazi.

Issue siyo bure!
Issue ni results (matokeo) michango hii haijaanza leo, ipo cku zte! lakini hakuna matokeo.

Istoshe km serikari itawaachia walimu na vikundi vyao kuanzisha michango! Hakuna sababu yakuwepo serikari.
 
Screenshot_20200617-105645.png
Screenshot_20200617-105639.png
Screenshot_20200617-105633.png
 
N

Wewe ni miongoni mwa walimu mnaokesha baa na ndio walimu mnaokunywa pombe za mkopo baa

Sasa mnataka kutesa wazazi.
Naona unauchungu sana na hizo 2,000 plus mchele 20kgs ambazo sisi wazazi pamoja na walimu tuliazimia kwa pamoja kwaajili ya chakula cha mchana kwa watoto wetu ili wakae shuleni hadi muda wa ziada kwaajili ya kusoma.
Pole sana ndugu mzazi....[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu ungejua thamani ya elimu usingukuja hapa kulalamikia kilo kumi za mchele na shilingi elf 2. Hii inaonesha ni jinsi gani hupendi maendeleo ya mwanao.

Ndugu yangu sio kila mchango ni wakupinga mimi nilikuwa napinga sana michango ya madawati, fyekeo, panga na ndoo kila intake na hata zil stoo ilikuwa haijai yaani ikifika wakati wa kufyeka, fyekeo hakuna au zipo mbovumbovu tu na kila mwaka wanafunzi wapya wanaleta hivyo vifaa vifaa kwa kweli hapo hata mimi nilikuwa naghadhabishwa na michango ya namna hii maana ilikuwani upigaji wa wazi.

Kuchangia chakula ni jambo nzuri cha msingi wazazi muhakikishe watoto wanapatiwa chakula bora na wanashiba hii itawasaidia kufidia muda waliopoteza ndani ya miezi hii mitatu.
 
Tatizo sio kuchangia pesa au chakula kwa mtoto Ila tatizo hivyo vitolewavyo je vitatumika kwa mujibu wa maelezo na dhumuni ya watoaji!!!? Kumbuka vile vile ni muhimu kupata maelezo Kama ni maelekezo ya wizara ya elimu ukizingatia kauli mbiu ni elimu bure kwa kila mtoto wa mkulima wa nchi hii...

Sent from my itel S32 using JamiiForums mobile app
Unamtoto hapo? Au unapiga kelele tu?
 
Binafsi ningependa serikali iangalie na hili,kuna shule za private uwa zinachukua ada kwa mihula 2 na nyingine mihula 4 kwa mwaka,sasa kuna shule zinadai ada ya semester ya march to june while kipindi iko watoto walikua nyumbani,serikali iliangalie sana hili,maana wenye shule wanadhani corona imewaumiza wao tu kumbe kuna wazazi wengine pia imewathiri kwenye kipato
 
Naona unauchungu sana na hizo 2,000 plus mchele 20kgs ambazo sisi wazazi pamoja na walimu tuliazimia kwa pamoja kwaajili ya chakula cha mchana kwa watoto wetu ili wakae shuleni hadi muda wa ziada kwaajili ya kusoma.
Pole sana ndugu mzazi....[emoji23][emoji23][emoji23]

Sikia ndg! Nyie walimu tunaishi nanyie huku mtaani, tunawajua A to Z.
Ndio nyie tunaowapa pesa za ziada kuwafundisha wtt wetu huku mtaani!

Ninachoweza kusema, km huwezi ukamfundisha mtoto kwa mda maarumu nihabari gani kwa mda waziada.
Au hujiulizi kwa nini serikari ilipiga marufuku tuitions *masomo ya ziada*
Nyie walimu upendo huu wa ua la waridi kuota juu ya mwamba umetoka wapi.

Nyinyi kwa nyinyi hampendani, kila siku mnachongeana! Km nyie wenyewe hampendani mnawezaje kupenda wtt wetu?

Huu umoja wenu nikwaajiri yakujinufaisha tu.

Kama ni korona imetuyumbisha wte, msitufanye kuwa kata wa kukaliwa na mizigo ya familia zenu.

Kumbuka walimu nisehem ya jamii tunayoishi nayo hivyo tunawajua.
 
Mimi sio mwalimu chief, nina kijiwe cha shoes shine na ndio kinanipa jeuri hapa mjini...[emoji23][emoji23]
Pole kwa maumivu mkuu, huko shule za St. Whatever uliwapeleka kwa hiyari yako mkuu....[emoji1787][emoji1787]
Ebu pambana na hali yako
 
Wewe siyo fundi viatu! Hakuna fundi viatu mwenye hakiri za njaa hivyo.

Wewe ni mwalimu ambaye upo kwenye hizi team! Ukibisha naweka hapa jina lako, namba ya simu, na shule unayofundisha.

Tatizo nikwamba unajifanya fundi viatu kwa sababu ya kudharau kazi hyo ukidhani tutakuchukulia poa.

Kazi ya kushona viatu nikazi km kazi zingine zilivyo, naina watu wasomi kuliko ww unaedandia michango ya wazazi ili uendeshe maisha.

Note this.
 
Naona unazidi kupagawa mkuu wangu...[emoji38][emoji38]
Pole kwa maumivu unayo yapitia....[emoji23][emoji23]
Naona umekuwa very disappointed baada ya shule kugunguliwa wakati ada ulisha ikula...[emoji1787][emoji1787]
Naona umeelekeza hasira zako zote kwangu mimi mwalimu wa chekechea...[emoji28][emoji28]
 
Utabadiri sana fani!
Lakini Note huo ujumbe, usizani wte tuliopo hapa tunakurupuka kuandika,
Fatiria nyuzi zangu zte hum jf.
Watu km nyie tunawajua mpaka kwa uandishi. Yaani km nakuona vile🍥🍥

Naona unazidi kupagawa mkuu wangu...[emoji38][emoji38]
Pole kwa maumivu unayo yapitia....[emoji23][emoji23]
Naona umekuwa very disappointed baada ya shule kugunguliwa wakati ada ulisha ikula...[emoji1787][emoji1787]
Naona umeelekeza hasira zako zote kwangu mimi mwalimu wa chekechea...[emoji28][emoji28]
 
Utabadiri sana fani!
Lakini Note huo ujumbe, usizani wte tuliopo hapa tunakurupuka kuandika,
Fatiria nyuzi zangu zte hum jf.
Watu km nyie tunawajua mpaka kwa uandishi. Yaani km nakuona vile[emoji497][emoji497]
Dahhhh.....
Naona povu kama umemeza Omo..[emoji23][emoji23]
Na bahati mbaya sijapata muda wa kufuatilia mashuzi aiseee, nipo busy kitaa kutafuta shilingi ili nikamalizie kulipa ada ya wanangu...[emoji41][emoji41]
 
Back
Top Bottom