Waziri Ndalichako tunaomba utoe tamko kuhusu mwongozo wa elimu baada ya shule kufunguliwa, kuna shule wamebuni michango yao

Anza kufikiria na kulifahamu ili,,kwa ngazi ya kijiji Shule zipo chini ya Afsa mtendaji WA kijiji( CCM by default) ngazi ya kata zipo chini ya Afsa mtendaji kata(CCM by default) katika ngazi ya wilaya zipo chini ya Mkurugenzi( CCM by default).. Kwa utaratibu uliopo sasa ,,Mkuu wa shule haruhusiwi kuchangisha michango ,,,michango yote iratibiwe na kamati ya wazazi chini ya usimamizi wa watu nilio wataja hapo juu....Sasa hapa lawama kwa mwalimu zinaingilia mlango gani?.. kumbuka kitu kimoja,,mwalimu anaweza kuwa,,mkulima na mfanya biashara pia,,,so usimwekee shida ulizo nazo wewe!....
NB : Haya malalamiko yana tafasiri jinsi hali ilivyo mbaya mtaani hakuna pesa.. sasa ENDELENI KUSIFU NA KUABUDU
CCM OYEEEEEEEE,,,,MAGUFULI JEMBE SI JEMBEEE?
 
Hapa nilipo Agizo la Mkuu wa mkoa,,watoto wote WA kidato cha Nne kwa shule za kutwa waweke kambi shuleni,, kwa wastani GHARAMA ni kama 375000/= ,,,hapo lawama ni kwa mwalimu,,,
 
Usitoe mchango SUBIRI Hadi Serikali itoe Muongozo:..kama mwalimu mwenyewe mtoto wake anamsomesha private,,wee shupaza shingo
mwl WA Chem na Bios
 
Acha kuwa mpumbavu ww hivi hivho chakula si watakula hao watoyo wako au watasoma bila kula hadi hiyo saa 10 jion usipende kuwaona walimu mda wote ni wez, ulipitia shule hadi sahz unajua kusoma na kuandika huyo mwalimu wako alikuibia nn kipindi unasoma
 
Huna hoja ya msingi... kafungue kesi mahakamani upate haki yako
 
Kuna wazazi/ walezi WAJINGA SANA ... wenzako wanalipa mil 3 ada tu we unaona mchele swala la kukuumiza kichwa ... akiwa likizo alikula KILO NGAPI mpka hiyo 10 ikushinde?
 
Elimu bure na Kula bure Ni vitu viwili tofauti

Nyie walimu tunajua mbinu zenu ovu yakutaka kujinufaisha!
Hizo kamati za shule mnazozitumia tunajua kila kitu.
Nyie walimu baadhi ndio mnaoandaa mikakati hii miovu ili serikari nachama ichukiwe na wananchi.
 
Kwanini hawaombi mahindi wanaomba mchele?
Kabla ya kuiva mpunga walikuwa wakiomba michango ya uji .
Mpunga umeiva wanataka mchele.
Wizi huo.
 


Km ni hivyo! Kwa nini hao viongozi wasitangaze wao? Hasa wakuu wa mikoa km anavyofanyaga mkuu wa mkoa wa simiyu? Ili wazazi wakawa na imani?

Maana walimu sasa hivi wataanza kwenda na vimikoba shuleni vyakubebea mchele.🤣🤣

Nanimewalenga! Maana povu si povu!
Maana kabla ya kuiva mpunga walikuwa wanataka michango ya uji.
Umeiva mpunga wanataka mchele.
Waenderee kunywa uji km ni wali watoto wataukuta nyumbani.
Ha ha ha
 
nyie ndo wazazi matahila kamati ya shule ni wawakilish wa wazazi wote kama ilivyo wabunge wenu mchango ulio fanyika nenda shule kaulize inakuwa vp upewe maelezo hiyo idadi ya wanafunzi unayo taja umeitoa wapi upo kwenye takwmu za uongo na uchonganishi
 
kumbuka hata sheria kuna Law na by law
 
yani wazazi kama hawa ni shda tupu
 
basi nadhani ww ushamaliza kufundisha wanao na corna hii watafaulu tu
 
weka majina kama unauhakika na taarifa zako
 
We kuna mtu amekulazimisha kumpeleka hapo? We fanya kumuhamisha umpeleje shule inayoendana na unavyotaka. It's very simple.
hujui unachoongea wewe, shule za binafsi wameweka huo utaratibu wao mtoto akifika darasa la nne ahamie boarding, huko boarding watoto wanaamshwa usiku wa manane kusoma, hii ni shule zote, unaongea ongea tu, nimuamishe nimpeleke wapi ? na suala hili uingereza limefanyiwa utafiti watoto wengi wanaathirika sana kisaiokolojia kwasababu facilities na guardianship iliyopo siyo nzuri na ya kutosha kwa watoto wa umri mdogo.
 
Very simple wapi?
Kambla yakuiva mipunga mbona mlihitaji michango ya uji? Mmeona mipunga imeiva ndo mnakodolea kilo 10 za mchele!
Mali inapatikana shamba........ nendeni mkalime badala yakuchukua mikopo ya nyumba na kununua gari hafu mwaanza kuumiza wazazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…