Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 7,748
- 10,288
Sisi Watanzania wazalendo tuliposikia utadili na hawa wazandiki wanotumia Twitter kupotosha habari na kutukana viongozi, mh Waziri tulitarajia leo hii wale wazandiki nguli uwe umeshawadaka.
Maana hawa ndio vinara wa kupotosha na kuzua habari za uongo juu ya taifa letu na viongozi wetu.
Wengi wanajulikana na makosa wanayofanya yapo wazi kabisa kwa mujibu wa Cybercrimes Act, 2015. Lakini nashangaa unadili na vijana ambao hawana majina makubwa na wanakamatwa huku wazandiki nguli wakiwa bado wanatukana, kupotosha na kueneza uongo huko Twitter.
Waziri Ndugulile usiangalie sura ya mtu,maana hakuna ambae yupo juu ya sheria kisa tu baba yake alikuwa kiongozi.