Waziri Ndugulile Kaza buti, watumiaaji wa Twiitter usiwalegezee

Waziri Ndugulile Kaza buti, watumiaaji wa Twiitter usiwalegezee

"18.-(1) Kila mtu yuko huru kuwa na maoni yoyote na kutoa nje mawazo yake, na kutafuta, kupokea na kutoa habari na dhana zozote kupitia chombo chochote bila ya kujali mipaka ya nchi, na pia ana uhuru wa mawasiliano yake kutoingiliwa kati.
(2) Kila raia anayo haki ya kupewa taarifa wakati wote kuhusu matukio mbalimbali nchini na duniani kote ambayo ni muhimu kwa maisha na shughuli za wananchi, na pia juu ya masuala muhimu kwa jamii."
30(1) Kudai kwenu haki za kimsingi kusiwe sababu ya kuzuia au kuvunja haki za wengine.
 
twita ilishafungiwa hapa nchini ni mataifa ya magharibi yanaleta fitina hizi
wanatuonea wivu mapambano yetu dhidi ya covidoctrine na uchumi
 
Sisi Watanzania wazalendo tuliposikia utadili na hawa wazandiki wanotumia Twitter kupotosha habari na kutukana viongozi, mh Waziri tulitarajia leo hii wale wazandiki nguli uwe umeshawadaka.

Maana hawa ndio vinara wa kupotosha na kuzua habari za uongo juu ya taifa letu na viongozi wetu.

Wengi wanajulikana na makosa wanayofanya yapo wazi kabisa kwa mujibu wa Cybercrimes Act, 2015. Lakini nashangaa unadili na vijana ambao hawana majina makubwa na wanakamatwa huku wazandiki nguli wakiwa bado wanatukana, kupotosha na kueneza uongo huko Twitter.

Waziri Ndugulile usiangalie sura ya mtu,maana hakuna ambae yupo juu ya sheria kisa tu baba yake alikuwa kiongozi.
We ni ku.ma
 
Twitter mlishaifungia siku nyingi
 
twitter imewekewa restricted access toka uchaguzi.
means without VPN huwez access twitter kwa tz.
haijafungwa, ila access imekuwa restricted.
Tayari mwezi + umeisha tangu Twitter iachiwe huru...bila VPN

Jaribu bila VPN boss utaona matokeo!
 
Back
Top Bottom