G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,795
- 36,704
Waziri wa maliasili na utalii Dkt. Damas Ndumbaro leo January 12 akizindua jengo la utalii wa mashamba ya misitu Biharamulo-Chato ameiagiza bodi ya utalii nchini kuhaakikisha kuwa inapeleka watalii wa kutosha kwenda kujionea maajabu ya msitu mnene wa Biharamulo-Chato hivyo kuongeza mapato ya serikali
Picha: Waziri Ndumbaro akiwa na bodi ya utalii nje ya jengo alilozindua leo Biharamulo-Chato
Picha: Waziri Ndumbaro akiwa na bodi ya utalii nje ya jengo alilozindua leo Biharamulo-Chato