Waziri Ndumbaro azindua Jengo la Utalii wa mashamba ya misitu Biharamulo-Chato, atoa maelekezo kwa Sekta ya Utalii nchini

Waziri Ndumbaro azindua Jengo la Utalii wa mashamba ya misitu Biharamulo-Chato, atoa maelekezo kwa Sekta ya Utalii nchini

Tunahitaji TANAPA wajenge jengo la ofisi linaloeleweka iwapo wanataka utalii endelevu kanda ya ziwa na kwa ku diversify utalii nchini.
Wanajenga hoteli ya nyota tano, fungu limeshatengwa kwahiyo wewe subiri uzinduzi
 
Tunahitaji TANAPA wajenge jengo la ofisi linaloeleweka iwapo wanataka utalii endelevu kanda ya ziwa na kwa ku diversify utalii nchini.

Wanajenga bunda sehem moja inaitwa balili,Tatizo kubwa la uwekezaji katika utalii ni halmashauri zetu kwa mfano kuomba kibali tu cha ujenzi wa hotel ni ngumu mtu unazungushwa mpk basi .
 
Rais gani?hivi we jamaa unaongea kutoka kinyeo chako ama?
Uchaguzi ushaisha We bado umo tu ,Rais ni JPM.
Hama km huwezi kuvumilia, najiulizaga nani aliwaonyesha Internet mapimbi km wewe?🤔

Nimecheka kwa nguvu. Tazama hii Id vizuri, wenzako wanaiogopa kama moto. Huko unakojaribu kwenda kwa lugha hizo utajuta maana ndio eneo tulilobobea.
 
Dkt. Damas Ndumbaro ameitangaza Chato iliopo mkoa wa Geita kuwa kitovu Cha utalii kwa Kanda ya Ziwa...

Ndiyo viongozi tulionao! Chumia tumbo kwa kulamba viatu vya bwana. Kwanini kitovu cha utalii kanda ya ziwa kisiwe Mwanza?!
 
Kampeni zimeisha, tuchape kazi ndugu zangu....alizeti hakuna, mashamba ya kukodi hata kununua kwa bei sawa na bure.
 
Ningekua mimi ninge-step down nafasi yangu ya uwaziri, huwezi kusimama pale mbele na kujidai tumeleta maendeleo wakati clearly hata kwenu maendeleo hayajaletwa!...unaona kabisa intrest ni za mtu mmoja mwenye ego na sio interest za Tanzanian public,.... Magufuli hana mshipa wa aibu anawadhalilisha sana kwa kuwafanya muonekane vituko mbele ya jamii
 
Mawaziri wanapishana na kupigana vikumbo kwenye mitaa ya chato,huku jamaa anatafuna pop corn na coca bariiiidi anawazoom tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hilo ni jambo jema sana, na hio itasaidia kushusha gharama na kuvutia watalii wengi, Tunaomba waziri uendelee na juhudi hizo kwa maeneo mengine yenye misitu na funga kabisa vitalu Vya uwindaji, shusha kodi watu wakatalii huko.
 
Katika utawala wa Jiwe watu wanafanya mambo kwa mihumuko na si kufuata utaalamu husika,Ili kumPlease Jiwe .Tutashuhudia vituko vingi sana!
 
Yaani huko mbele kutakuwa na mikumi, na Serengeti nyingi kila Kijiji.
Hivi na nyie mnaamininbodi ya utalii ndio inapeleka watalii? Umeshaona wazungu wanalazimishwa kufanya kitu? Hakuna mzungu atakayeenda Chato. Mtu aache serengeti, Ngorongoro, eti aende mbali huko Chato? Majibu mtayapata baada ya muda tu. Sad jinsi pesa ya umma inavyowekezwa vibaya wakati ajira kwa vijana hakuna.
 
Back
Top Bottom