Yaani huko mbele kutakuwa na mikumi, na Serengeti nyingi kila Kijiji.Chato chato chato,hapo tunakumbushwa tukumbuke makwetu.
Wananchi wa Kusini wakiangalia kinachoendelea Chato huku zao lao la korosho likiwa limehujumiwa, na 200b za mfuko wa korosho zikiwa zimeporwa kwenda kununulia ndege, kwa vyovyote watataka rais safari hii atoke kusini ili akapendelee kwao.Asante sana waziri kwa sasa chato aka chatu inapaa kama jet. Mungu mbariki rais jpm
Tunahitaji TANAPA wajenge jengo la ofisi linaloeleweka iwapo wanataka utalii endelevu kanda ya ziwa na kwa ku diversify utalii nchini.
Niliwahi kusema humu kwamba yuko waziri wa mawaziri, ndio anayetoa mwongozo wa cha kufanya, hawa mawaziri wengine wote akiwemo Waziri Mkuu kazi yao ni kujibu maswali bungeni tu.Ni jambo jema!
Wale Covid 19 walikosea sana kutomweka Upendo Peneza miongoni mwao!
CHADEMA mna vituko sana.Niliwahi kusema humu kwamba yuko waziri wa mawaziri , ndio anayetoa mwongozo wa cha kufanya , hawa mawaziri wengine wote akiwemo Waziri Mkuu kazi yao ni kujibu maswali bungeni tu .
Haiwezekani mawaziri wote waachane na Dodoma waanze kushadadia Chato , hata kama watanzania ni mabwege zumbukuku , si kwa utopolo huu wanaofanyiwa