Waziri Ndumbaro: Dkt. Kigwangalla hakufuata sheria alipofuta umiliki wa kitatu cha Lake Natron, naagiza warudishiwe Green Miles safaris

Duuh?!

Nimechokaje kusikia hayo tena?!

Aisee?!

Je lengo lilikuwa ni lipi?

Kuwaondoa?

Kwa hiyo kama Kigwa hakufuata sheria kwanini huyo aliyekuwepo asifuate sheria ktk kuwaondoa badala yake anaishia kiwarudisha tu?
 
Na inatakiwa huyo mwekezaji alipwe fidia.
 
Duuh?!

Nimechokaje kusikia hayo tena?!

Aisee?!

Je lengo lilikuwa ni lipi?

Kuwaondoa?

Kwa hiyo kama Kigwa hakufuata sheria kwanini huyo aliyekuwepo asifuate sheria ktk kuwaondoa badala yake anaishia kiwarudisha tu?
Ngoja tuone!
 
Kigwa Mzee wa mitandaoni.. sasa atakuwa Twitter huko. Akitoka hapo siku hizi anatafuta online TVs akahojiwe. Akiwa huko lazima amzungumzie Mo na wizara ya utalii. Jamaa roho inamuuma sana kutoka kwenye uwaziri, hasa hiyo ya utalii, aliikubali sana masikini!
 
Yaaani kama GREEN MILES imerudi Tanzania baasi yale yale ya RICHMOND yataaanza kwa kasi ya G4 yaaani roho yangu imeniuma sana hawa Wahujumu kurudishwa Nchini kwetu. Kuanzia leo Dkt. NDUMBARO nimeanza kumuweka kwenye Orodha ya Watu hatari kwa Taifa hili, maaana siyo Msafi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…