Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mafisadi, majambazi na wauza madawa kama wewe wataendelea kuumia tu.Wapo wananchi wengi mno walioumizwa na huyo Magufuli wenu. Basi tu.
Kweli mkuu??Niliwahi kusikia hiki kitalu ni Cha Kinana...
Juzi kati nilimskia kinana kama anaongea hivi? Deal done 😂😂😂Niliwahi kusikia hiki kitalu ni Cha Kinana...
Wapo waliofaidishwa pia na uyo magufuli wetu, ulijionea umati wa waliomkubali wakimuagaWapo wananchi wengi mno walioumizwa na huyo Magufuli wenu. Basi tu.
Jangili ni yule aliyekuwa anaamuru watu wakamatwe, wafirisiwe na wauawaweHuo ni mwanzo tu. Tarajia majangili wengine wengi kurejea kwenye game! Kazi iendelee. Timu msoga on the beat.
Ndumbaru keshapewa chake
Takukuru wamchunguz
Unaimanisha mwenda zake?Asimlaumu kigwangala ni mambo ya Mtawala aliyeondoka
Na inatakiwa huyo mwekezaji alipwe fidia.Duuh?!
Nimechokaje kusikia hayo tena?!
Aisee?!
Je lengo lilikuwa ni lipi?
Kuwaondoa?
Kwa hiyo kama Kigwa hakufuata sheria kwanini huyo aliyekuwepo asifuate sheria ktk kuwaondoa badala yake anaishia kiwarudisha tu?
Ngoja tuone!Duuh?!
Nimechokaje kusikia hayo tena?!
Aisee?!
Je lengo lilikuwa ni lipi?
Kuwaondoa?
Kwa hiyo kama Kigwa hakufuata sheria kwanini huyo aliyekuwepo asifuate sheria ktk kuwaondoa badala yake anaishia kiwarudisha tu?
Ndumbaru badala ya Ndumbaro Sio [emoji3][emoji3][emoji3]Ndumbaru keshapewa chake
Takukuru wamchunguze
Ndumbaro keshapewa chake
TAKUKURU wamchunguze
Mbona wewe unamchukia Mbowe kwasababu mlipoenda kupima DNA na mke wako ikathibitika watoto wote wa tano unawalea ukidhani ni wa kwako ni wa MboweMkuu hawa watu hadi wakigongewa wake zao nasikia wanapiga kimya tu wanasema sababu ya mwenda zake