johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #41
Ndumbaro ni dalali wa Simba SC!Yaaani kama GREEN MILES imerudi Tanzania baasi yale yale ya RICHMOND yataaanza kwa kasi ya G4 yaaani roho yangu imeniuma sana hawa Wahujumu kurudishwa Nchini kwetu. Kuanzia leo Dkt. NDUMBARO nimeanza kumuweka kwenye Orodha ya Watu hatari kwa Taifa hili, maaana siyo Msafi
Ndumbaro ni dalali wa Simba SC!
Ile video ya Mch. Msigwa ya hao jama wakimwatandika risasi pundamilia wachanga na mama zao bado ninayo, ngoja niipandishe hapa labda watu wameishasahau...Acha KAZI iendelee....Yaaani kama GREEN MILES imerudi Tanzania baasi yale yale ya RICHMOND yataaanza kwa kasi ya G4 yaaani roho yangu imeniuma sana hawa Wahujumu kurudishwa Nchini kwetu. Kuanzia leo Dkt. NDUMBARO nimeanza kumuweka kwenye Orodha ya Watu hatari kwa Taifa hili, maaana siyo Msafi
Said bagaile a.k.a hamisi mapikipikiWaziri wa maliasili na utalii Dr Damas Ndumbaro amesema mtangulizi wake katika wizara hiyo Dr Kigwangalla hakufuata sheria wakati anafuta umiliki wa kitalu cha Lake Natron.
Dr Ndumbaro ameigiza umiliki huo urejeshwe kwa kampuni ya Green Miles Safaris Ltd hadi mwaka 2022.
Source: Bungeni.
Kazi Iendelee!
Alikua anaiba kwa ruhusa za aliemteua,meko alikua jambazi suguWaziri yuko sahihi kigwangala alikuwa fisadi na mla rushwa mkubwa Magufuli ndio maana alimpiga chini. Takukuru mdakei huyo
Na inatakiwa huyo mwekezaji alipwe fidia.
Mkuu kuna hili jambo la Wamachinga Mijini. Alivuruga mipangilio ya Miji kwa kuwaruhusu wajazane bila mpangilio. Yaani siku janga la moto likitokea sipati picha itakuaje? Jiwe alikuwa mvurugaji sana.Wote tunafahamu kuwa utawala wa awamu ya 5:
Uliharibu uchumi
Ulisigina katiba na sheria
Uligandamiza demokrasia
Uligandamiza haki za kiraia
Uliendekeza upendeleo na chuki
Ulipalilia uonevu
Hivyo siyo ajabu kuona mambo mengi yakibadilishwa. Lengo ni kujaribu kuondoa maovu yote, kujenga uchumi halisia na siyo wa propaganda.
Tarajieni kuona marekebisho mengi.
haya mambo ya wakubwa mkuu si wadogo wadogo. sasa wenyewe wanarudi kwa njia nyingine.Niliwahi kusikia hiki kitalu ni Cha Kinana...
Mkuu Ile Video ya Mchungaji Msigwa kama unayo ipandishe hapa hapa tuone jinsi Viongozi wetu wanapenda Rushwa na kujali matumbo yao.Ile video ya Mch. Msigwa ya hao jama wakimwatandika risasi pundamilia wachanga na mama zao bado ninayo, ngoja niipandishe hapa labda watu wameishasahau...Acha KAZI iendelee....
Hakika JPM alikuwa bulldoser+++ kweli !
sawa mkuu!Mkuu Ile Video ya Mchungaji Msigwa kama unayo ipandishe hapa hapa tuone jinsi Viongozi wetu wanapenda Rushwa na kujali matumbo yao.
Ikiwa una hoja, matusi ya nini! Hiyo ndiyo demokrasia mnayopigania?una chuki za kipumbavu, wacha warudi kweni nchi ya baba ako hii, kama hupendi hama nchi paka wewe
Mtaacha lini kumtaja Magufuli? Anawatesa sana mioyoni, siyo.kwaiyo hii mliona ni ya Magufuli na ukoo wake?
Ifike hatua wantue Magufuli vichwani mwao! Kila post Magufuli[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu hawa watu hadi wakigongewa wake zao nasikia wanapiga kimya tu wanasema sababu ya mwenda zake
Huyo waziri atafanya chochote kile kulinda cheo chake. Kumbuka sarakasi zake kule SSC na mwanafunzi wake Michael Wambura. Rejea pia juzi hapo kumsimamisha kazi MD wa TTB kwa ushauri uchwara wa CAG. Hivyo pia kapewa agizo kuhusu hao majangili na yeye ni mtekelezaji tu!Yaaani kama GREEN MILES imerudi Tanzania baasi yale yale ya RICHMOND yataaanza kwa kasi ya G4 yaaani roho yangu imeniuma sana hawa Wahujumu kurudishwa Nchini kwetu. Kuanzia leo Dkt. NDUMBARO nimeanza kumuweka kwenye Orodha ya Watu hatari kwa Taifa hili, maaana siyo Msafi
Nonsense ,wewe ni mmoja wa hathari ziliochwa na mwendazakeHuo ni mwanzo tu. Tarajia majangili wengine wengi kurejea kwenye game! Kazi iendelee. Timu msoga on the beat.
Kuna watu wanashabikia huu upumbavu unaorejeshwa kwa kasi kwa sababu tu ya chuki zao kwa hayati Magufuli. No wonder wazungu hutubagua na kutuita nyani. Maana hata nyani wenyewe hawawezi kufurahia huu wendawazimu.