Waziri Ndumbaro hafai ,hafai hafai....

'Home boy technic' aliitumia mwana FA kumbeba mwakinyo kwenye adhabu Ile!
 
Inawezekana alikua anafanya masikhara kama kawaida yake
 
Waziri anatakiwa kusahihisha mapungufu ya naibu wake...wote hawafai lakin waziri Yuko more responsible
Kuhusu Waziri kusahihisha makosa ya Naibu wake uko sahihi. Lakini Naibu Waziri kutokuwajibika Kwa kufanya upendeleo wa wazi unatoa picha mbovu Kwa wizara Kwa ujumla. Mbaya Zaid matatizo au changamoto za mchezo wa ngumi za kulipwa hapa Tz Kwa asilimia kubwa zinamuhusisha Mwakinyo . Either positive au negative zote ni yeye .
1. Kukimbia pambano nchini England .
2. Kuahirisha pambano ambalo limepangwa tayari kisa kulazimisha bondia wa Kambi yake apigane .

Yote hayo yanafanywa na bondia mwenye kiburi huku akilindwa na Naibu Waziri wanayetoka sehemu Moja .

Kuhusu Waziri tunamuonea Bure . Katika Baraza la mawaziri lililopo ukiambiwa utaje angalau Waziri mmoja wa hovyo Ndunguru hakosekani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…