NgerukeAbra
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 1,336
- 2,008
'Home boy technic' aliitumia mwana FA kumbeba mwakinyo kwenye adhabu Ile!Wote na Naibu wake hawafai na waondolewe . Nakumbuka Bodi ya ngumi za kulipwa Tanzania iliwahi kumpa adhabu Mwakinyo lakini Mwana FA alitumia kofia yake kama Naibu Waziri Hadi Ile adhabu ikabatirishwa za ndaaaaani ni kuwa wawili hao ni mtu na meneja wake.