Waziri Ndumbaro hafai ,hafai hafai....

Waziri Ndumbaro hafai ,hafai hafai....

Wote na Naibu wake hawafai na waondolewe . Nakumbuka Bodi ya ngumi za kulipwa Tanzania iliwahi kumpa adhabu Mwakinyo lakini Mwana FA alitumia kofia yake kama Naibu Waziri Hadi Ile adhabu ikabatirishwa za ndaaaaani ni kuwa wawili hao ni mtu na meneja wake.
'Home boy technic' aliitumia mwana FA kumbeba mwakinyo kwenye adhabu Ile!
 
Inawezekana alikua anafanya masikhara kama kawaida yake
 
Waziri anatakiwa kusahihisha mapungufu ya naibu wake...wote hawafai lakin waziri Yuko more responsible
Kuhusu Waziri kusahihisha makosa ya Naibu wake uko sahihi. Lakini Naibu Waziri kutokuwajibika Kwa kufanya upendeleo wa wazi unatoa picha mbovu Kwa wizara Kwa ujumla. Mbaya Zaid matatizo au changamoto za mchezo wa ngumi za kulipwa hapa Tz Kwa asilimia kubwa zinamuhusisha Mwakinyo . Either positive au negative zote ni yeye .
1. Kukimbia pambano nchini England .
2. Kuahirisha pambano ambalo limepangwa tayari kisa kulazimisha bondia wa Kambi yake apigane .

Yote hayo yanafanywa na bondia mwenye kiburi huku akilindwa na Naibu Waziri wanayetoka sehemu Moja .

Kuhusu Waziri tunamuonea Bure . Katika Baraza la mawaziri lililopo ukiambiwa utaje angalau Waziri mmoja wa hovyo Ndunguru hakosekani.
 
Back
Top Bottom