Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
WAZIRI wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro ameeleza jinsi ambayo katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametekeleza kwa vitendo haki za binadamu.Waziri Ndumbaro amesema hayo Leo Machi 19, 2025 Jijini Dar Es Salaam wakati wa ufunguzi wa kikao kazi cha kupitia mkataba wa Afrika wa haki za binadamu na watu pamoja na Itifaki ya Mkataba wa Afrika kuhusu Haki za Binadamu na Watu kuhusiana na Haki za Wanawake barani Afrika (lItifaki ya Maputo).
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Amesema kuwa kupitia falsafa ya 4R imewezesha serikali ya awamu ya sita kutekeleza kwa vitendo haki za binadamu yaani, Maridhiano, Ustahimilivu, Mageuzi na Kujenga upya Tanzania.
Chanzo Kitenge tv