Mauaji ya kikatili ya Mzee Ali KIbao, kutekwa na kupotezwa kwa viongozi wa wa Chadema Dionis Kipanya, Deo Soka na wenzake, kutekwa na kuteswa Sativa, wagombea wa Chadema kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa kupigwa risasi na polisi, kuvurugwa kabisa uchaguzi wa serikali za mitaa halafu anakuja mbilikimo mmoja anabana pua kueleza ujinga huu.