Waziri wa Sheria na Katiba, Mh. Ndumbaro, amewapa za uso Chama cha Wanasheria Tanganyika kwamba kinatoa matamko ya kukurupuka tu.
===============
Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro, ameonesha kutofurahishwa na mwenendo wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kwa kutoa matamko ya kukurupuka dhidi ya serikali. Amesema vitendo na matamko hayo ni vigumu kukubalika na hakuna serikali duniani inayovumilia kushushiwa hadhi yake.
Ni katika muktadha huo, Dkt. Ndumbaro ametoa wito kwa TLS kuboresha mahusiano na Serikali kwa kuongeza majadiliano kati ya pande hizo mbili. Amesema hayo Jijini Dodoma wakati wa utiaji saini wa hati ya makubaliano ya utoaji huduma za kisheria kwa wananchi kati ya serikali na TLS.
Waziri wa Sheria na Katiba, Mh. Ndumbaro, amewapa za uso Chama cha Wanasheria Tanganyika kwamba kinatoa matamko ya kukurupuka tu. View attachment 3178037
Waziri wa Sheria na Katiba, Mh. Ndumbaro, amewapa za uso Chama cha Wanasheria Tanganyika kwamba kinatoa matamko ya kukurupuka tu. View attachment 3178037
Kwa wenye kutazama vitu kwa jicho la tatu watagundua toka Mwambukusi achaguliwe kama Rais wa TLS ni kama ilikuwa inageuzwa kuwa tawi la CHADEMA. Kwa uteuzi wa jana wa Prof. Kabudi kama waziri wa katiba na Sheria, Mwambukusi hana kwa kufurukuta tena, mtaalamu mbobezi wa sheria anaenda...