A Peculiar people
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 612
- 773
Matokeo ya prado
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu si ndio yule alitoa tamko la kipumbavu kipindi kile cha mpira? Kwahio anatuaminisha kuwa serikali inafanya kazi kwa kuvizia watu?“Kuna wakati tunaweza kuwaambia kwamba hiki sisi hatujapenda, lakini kuna wakati sisi tunaweza tukakaa kimya tu, tukasubiri, aah sawa na sisi tunawasubiri kwenye kona Fulani tutakutana tu.