Waziri Pindi Chana, tafadhali anzia Kituo cha Boti za Zanzibar na Viwanja vya ndege. Watu wetu wanatudhalilisha na kutuaibisha sana!

Huyo mzungu naye mzungu njaa. Hiyo ni aliyoombwa ni bakshishi (tips) tuu. Tena ni aibu mpaka aombwe badala ya yeye mwenyewe kujitolea.
Kwamba ni halali au? Why mnahalalisha rushwa halaf mnalalamika haiishi
 
Mwenyekiti wako alitoa hiyo kauli nabhajawahi kuikanusha mpaka leo, usimuwekee maneno mdomo hata kama wewe ni chawa wake.
Jibu swali, lini Mwenyekiti wangu kasema watu waende kinyume na maadili?
 
Acha watu walambe asali, Kama hataki kutoa rjshwa arudi kwao hajaitwa huku.
Ningekuwa mm ningempiga laki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…