GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Haiwezekani leo katika Hafla fupi ya Kumkaribisha Naibu Waziri wako Mwana FA Wizarani umetumia dakika 17 zote Kumsifia (tena Kinafiki) Rais Samia huku ukitumia tu dakika 2 Kuelezea Malengo ya Wizara yako ambayo wenye Akili tunajua kuwa huiwezi na hutoiweza sema tu Mama ( Rais ) anaona Aibu kukuondoa kabisa katika Serikali yake kwakuwa Kwanza nyie (Wewe na Yeye ni Marafiki) halafu umepewa hiyo Fursa (Umeteuliwa) kwakuwa una Ukaribu wa Kimtandao na Mstaafu Mmoja mwenye Nguvu na Ushawishi mkubwa kwa Rais Samia na hapindui Kwake.
Kilichotushangaza sasa ni kwamba wakati Wewe Ukivurunda katika Hotuba yako Naibu Waziri wako mpya Mwana FA ( mwenye Upeo mkubwa Kukuzidi ) alipopewa Wasaa wa Kuzungumza alitumia dakika 7 tu ambapo dakika zote 6 aliezea ataenda kufanya nini kama Naibu Waziri wako na dakika 1 tu ndiyo aliitumia Kumshukuru Rais Samia kwa Kumuamini na Kumteua hapo Wizarani ila siyo Kumsifia kwa Kumlamba Miguu Rais Samia na Kujipendekeza Kwake kama ulivyofanya Wewe.
Na sasa GENTAMYCINE nakuibia Siri hii ichukue na kaa nayo kuwa Mama ( Rais Samia ) hapo anamuandaa rasmi Mwana FA kuja kuwa Waziri Kamili wa hiyo Wizara kwani licha ya Kugundua Mwana FA ni very Intelligent naturally pia ni Mtu ambaye atawasaidia mno Wasanii wa nchi hii.
Soka la Tanzania na hata Kuiendeleza Michezo mingine kwakuwa ana DNA nayo, anakubalika na ni mpenda Maendeleo chanya na Mchapakazi vile vile Kukuzidi.