TANZIA Waziri Salome Mbatia afariki dunia, maswali yaibuka!


Unafiki? Kwasababu mtu akifa haturuhusiwi kusema tunacho-feel ? nani anasema haya? Anyhow, you can be un comfortable any way you can,It’s your right.

Pole nimeitoa, na kumjua Mama Mbatia the way alivyokuwa, I will say it, anytime. This is my approach and the way to sympathize with the loss and remember who she was. If it hurts you, I am sorry, kila mtu ana njia yake ya ku-mourn. And you mister, cannot tell me otherwise. Deal with this your way, and I will my way. This is not unafiki under any circumstances.

Pole sana baba kwa hii loss, same goes to the nation.
 
Mkubwa M,kijiji Sasa Tutapoteza Imani Nawe Kama Tulivyopoteza Imani Kwa Mungwana,mkubwa Huku Kwetu Wengine Ni Usiku Wa Manane Mkubwa Tusaidie Hizo Picha
 

Picha ya Ajali ya Bi. Salome Mbatia jioni ya leo...

Mungu azilaze roho za marehemu wote pema peponi, Amina
 
hata ukiweka kubwa hamna tatizo,instead itakuwa vizuri mana tutamwona mpendwa wetu vizuri
 
hapana mwanakijiji, watu wako conscious na hiyo picha, na hiyo ilikuwa tu namna ya kuexpress his/her feeling.

asante sana mwanakijiji kwa kazi yako nzuri
 
Hiyo picha bora uitoe,hutawatendea haki wanafamilia wa Mbatia kwa kuiweka hapo.Inatisha sana.
 
Pole kwa wafiwa na Mungu azirehemu roho za marehemu
 
kweli kwa hii picha ajali ilikuwa ya kutisha kinoma,na bila kukosea mkono huu ni wake,
 
kuna aliyepata taarifa za mazishi ni lini?na mauungwana ataweza kuudhuria wakati tunamsindikiza mpendwa mama yetu katika pumziko la milele,
 
Nyuma ya gari la Mbatia kulikua na gari la Zitto na nyuma ya gari la Zitto kulikua na gari la Naibu waziri David Mathayo... Zitto ndiye aliyebeba majeruhi wa gari lory bila kujua waliokuamo katika NISAN ni kina nani..

jamani hii ni hatari-R.I.P SALOME
 
mhm, mi nikisikia kifo bana, yaani hata kama mtu simjui basi atari tup ! rest in peace mama salome mbatia !
 
Yeah, its too..what! nadhani bora aitoe tu maana nadhani hata mimi itaniletea mauza uza usiku huu!

RIP

Huu ndio uswahili, nimewaambia ni picha ya ajali, mlidhania ni picha ya harusi? Nilitoa muda mrefu wa watu kuamua na hakuna aliyepinga sasa mmeiona ati "inatisha"... mlidhania watu wako mezani wanakula?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…