TANZIA Waziri Salome Mbatia afariki dunia, maswali yaibuka!

mtetezi wa mafisadi na hiyo dhambi itakutafuna tu.........

heeeee, sasa nikifa ndio tatizo ???? wamekufa vipenzi vya Mwenyezi Mungu itakuwa Kada bana ??

kama nalala bila ya uoga why niogope kifo wakati kifo nacho ni usingizi vile vile, utakufa na ipo siku utaamka kwa imani yangu !

haya bana kama wee unataka kukesha macho milele, hiyo ni wewe !
 
poleni watanzania wote na dunia kwa ujumla. huu ni muda wa kushikamana kumuenzi kiongozi wetu na wale wote waliopoteza uhai wao.
 
heeeee, sasa nikifa ndio tatizo ???? wamekufa vipenzi vya Mwenyezi Mungu itakuwa Kada bana ??

kama nalala bila ya uoga why niogope kifo wakati kifo nacho ni usingizi vile vile, utakufa na ipo siku utaamka kwa imani yangu !

haya bana kama wee unataka kukesha macho milele, hiyo ni wewe !

kufa hautakufa ila cha moto utakiona kama hapo unapoweweseka wakati hizi ajari unazichangia mwenyewe. na kwa sababu umesema ukisikia kifo kwako ni hatari nitakujazia picha za miili ya watanzania unayochangia kuiua kwenye PM yako ili uendelee kuweweseka. Wenzako tumeshazoe tunazika kila siku baada ya nyie kuamua kutudhurumu hata ila ya kununua asprin
 
jamani hee wabongo tumezidi kuongea,huyu mama tumempa pole we sasa tumechoka sasa wengine washaanza kusema kuwa alikuwa anatetea ufisadi,mnaosema mna udhibitisho?
Tumwacheni mama wa watu apumzike kwa amani katika pumziko lake la milele,na hii mijadala inapoenda soon utasikia watu wanatuma post kuwa nae alikuwa mwana mtandao,JAMANI TUACHENI MAJUNGU,KULICHOBAKI TUMWOMBEENI
 
wapiga matarumbeta mna tabu kweli, subiri ntafute kipande cha ndimu !!
 
jamani hee wabongo tumezidi kuongea,huyu mama tumempa pole we sasa tumechoka sasa wengine washaanza kusema kuwa alikuwa anatetea ufisadi,mnaosema mna udhibitisho?
Tumwacheni mama wa watu apumzike kwa amani katika pumziko lake la milele,na hii mijadala inapoenda soon utasikia watu wanatuma post kuwa nae alikuwa mwana mtandao,JAMANI TUACHENI MAJUNGU,KULICHOBAKI TUMWOMBEENI

kwani wee hujui JF kila kitu kinahusishwa na siasa ! hata akiumwa wewe utaambiwa fulani kafanya hivi na hivi ndio maana unaumwa ! kwa kifupi watu washamsahau Mungu wao, kama wale waisrael baada ya Mussa kwenda kuchukua mari 10 za Mungu !
 
Ok sikusoma hapa.. Hata hivyo picha umeshaiweka natumai ni kutokana na idadi kubwa ya waliomba kuona picha hiyo.

Zaidi msimamo wangu upo pale pale kuwa picha hiyo haifai kubandikwa.

sawa, endelea na msimamo wako ndio uzuri wa JF.. misimamo haimaanishi lolote au hailazimishi lolote.
 
jamani hee wabongo tumezidi kuongea,huyu mama tumempa pole we sasa tumechoka sasa wengine washaanza kusema kuwa alikuwa anatetea ufisadi,mnaosema mna udhibitisho?
Tumwacheni mama wa watu apumzike kwa amani katika pumziko lake la milele,na hii mijadala inapoenda soon utasikia watu wanatuma post kuwa nae alikuwa mwana mtandao,JAMANI TUACHENI MAJUNGU,KULICHOBAKI TUMWOMBEENI

Mimi sijasema huyu mama ni fisadi ila nilikuwa namwambia huyo maskini kama mimi Kada kuwa tunapotaka kutokomeza ufisadi lengo ni kutaka kuleta maisha mazuri ikiwa ni pamoja na kuondoa hizi ajari zinazosababishwa kizembe. Kada yeye ni mtetezi wa hawa mafisadi na ndiye niliekuwa nampasha anapojifanya anaweweseka
 
1. Hili zimwi la ajali kwa vingozi hii awamu ya JK sasa imezidi. Why katika hii awamu ajali zimezidi? Sijafanya uchunguzi ...sioni kama kiwango cha ajali kwa viongozi wakati wa BMW na AHM kilikuwa kikubwa hivi. Kulikoni? Serikali inahitaji maombi maalum over ajali hizi?

..mv bukoba!

..ajali ya treni ya kati,dodoma!

..na yaliyosemwa baada ya ajali hizo!

..nataka kuamini kuwa,haya yatakuwa mapenzi ya allah!
 
jamani hee wabongo tumezidi kuongea,huyu mama tumempa pole we sasa tumechoka sasa wengine washaanza kusema kuwa alikuwa anatetea ufisadi,mnaosema mna udhibitisho?
Tumwacheni mama wa watu apumzike kwa amani katika pumziko lake la milele,na hii mijadala inapoenda soon utasikia watu wanatuma post kuwa nae alikuwa mwana mtandao,JAMANI TUACHENI MAJUNGU,KULICHOBAKI TUMWOMBEENI

Ujumbe mzuri sana mwanasiasa ingawa hapo nyuma kidogo uliuliza hivi!:

Twendeni mbele turudini nyuma,na huyu zitto nae alikuwa anatoka wapi?,mana kwa ripoti,mama salome alikuwa kwenye kampeni za ccm za uchaguzi huu ujao,dr matayo alikuwa anatoka songea kukagua kilimo cha umwagiliaji,je zitto nae alikuwa anatoka wapi?

Hii naona kwa standard yako kuhusu Zitto hapa sio siasa wala majungu! I love JF!
 
Bwana alitoa na sasa ametwaa,jina lake lihimidiwe.Mungu ailaze roho yake pahala pema peponi,Amen.
 
kwani wee hujui JF kila kitu kinahusishwa na siasa ! hata akiumwa wewe utaambiwa fulani kafanya hivi na hivi ndio maana unaumwa ! kwa kifupi watu washamsahau Mungu wao, kama wale waisrael baada ya Mussa kwenda kuchukua mari 10 za Mungu !

Du unamjua Mungu wewe! at least kumbe kuna hope siku moja utabadilishwa kutoka sauli mpaka kuwa PAULO
 
Mimi sijasema huyu mama ni fisadi ila nilikuwa namwambia huyo maskini kama mimi Kada kuwa tunapotaka kutokomeza ufisadi lengo ni kutaka kuleta maisha mazuri ikiwa ni pamoja na kuondoa hizi ajari zinazosababishwa kizembe. Kada yeye ni mtetezi wa hawa mafisadi na ndiye niliekuwa nampasha anapojifanya anaweweseka

siweweseki na wala siyumbi ! kwa lipi hasa ?
 
si damu za watu ambao ulitakiwa kuwatetea lakini unawasaliti kwa vitshirt na kofia. Halafu unajifnya ooooh! mimi mtu yoyote akifa kwangu ni hatari........ Mnafiki wewe endelea kuwatetea hao mafisadi na hiyo dhambi haitakuacha utabaki unaweweseka.
 
sawa, endelea na msimamo wako ndio uzuri wa JF.. misimamo haimaanishi lolote au hailazimishi lolote.

Mwkjj,
Good, sio wote watakao rizika na maamuzi. Its Machiavellism time, the prince must do whats right for the state and people!!!!!!!.
 
Back
Top Bottom