Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Niliahidi kuiweka kwa muda tu kwa ombi la Nyani..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yap.. Wapewe muda, anaweza kuonyesha picha ya gari kwa upande mwingine lakini sio ule ambao unao mwonyesha akiteseka katika dakika zake za mwisho hapa duniani....
Niliahidi kuiweka kwa muda tu kwa ombi la Nyani......
Niliahidi kuiweka kwa muda tu kwa ombi la Nyani..
jamani nyie mlioko Marekani mnaotoka job mida hii nitawawekea baadaye kidogo tena... maana naona hapa ni lose lose situation tu. Na hiyo ni picha moja, ningeweka na zile nyingine si ndio ingekuwa hatari...
Hili ndilo gari alilokuwamo marehemu Salome Mbatia
Sasa Wana Jf Nawaomba Niwatoeni Nje Ya Mada Kidogo,nimesikia Kuwa Kuna Vigogo Wawili Wanatajwa Kuchukua Nafasi Yake,(kumbukeni Ni Tetesi Tu)nao Ni Gaudensia Kabaka Na Aisha Kigoda,na Pia Inasemekana Kuwa Muungwana Atatumia Nafasi Ile Moja Kufanya Restructure Kidogo Ndani Ya Baraza Hususani Kwa Manaibu Waziri,je Kuna Mwenye Tetesi?
Kwi kwi kwi..jamani wacha nivunjike mbavu...yaani hata msiba haujawekwa nikiwa na maana hata hema wala viti havijaletwa nyumbani kwa wafiwa; watu tumeshaanza kuangalia mbele nani mrifi wa kazi yake....!!! Ama kweli waliosema kufa kufaana hawakukosea.
Hiyo picha haionyeshi UTU wa aina yoyote.. Zaidi kutokana na jinsi mnavyoielezea na jinsi inavyokwenda inaonyesha kwa kiasi gani kuwa watu wengine walivyo na roho za kinyama. Narudia tena picha hiyo haiwatendei haki hata kidogo familia ya marehemu. Upeo uliokuwa nao ni mkubwa kujua hili.. Lakini iwapo umeamua kuibandika ni juu yako. Zaidi uelewe kuwa haikuwa busara kabisa kubandika picha hiyo. Na iwapo kuna uwezekano basi uitoe.