TANZIA Waziri Salome Mbatia afariki dunia, maswali yaibuka!

TANZIA Waziri Salome Mbatia afariki dunia, maswali yaibuka!

Watu tuache unafiki.

Kifo ni njia ya kila mtu hapa Dunia. Zamu yako ikifika unaondoka na unaacha kila kitu ulicho chuma hapa duniani ikiwa ni pamoja na mwili wako.

Hapa JF tunapiga kelele juu ya Utendaji mbaya na wa kiibilisi wa SISIEMU ambao unaua maelfu ya Watanzania kila siku kwa namna nyingi ambazo chimbuko lake ni umasikini.

Safari za hivi karibuni za mawaziri kuzunguka Tanzania kueneza uongo zime tumia fedha nyingi sana za Taifa ambazo kwa namna moja au nyingine zingesaidia kutatua matatizo ya wanyonge katika kila kona ya Tanzania.
Pamoja na kuzunguka kwao na kujionea umasikini ulivyo tanda viongozi wetu bado wanaendelea kueneza siasa za kiuuaji ambazo ndiyo njia pekee ya kuwafanya wabaki mabadarakani.

Vibaka wakiuawa kwa kuchomwa moto picha zao zinawekwa kwenye magazeti zikionyesha moto ukiwateketeza na wengi tunaona sawa. Vibaka wengi nniliowahi kuwajua mimi pale Dar ni bread earner wa familia zao kwa sababu tu uchumi wa nchi umetiwa sumu na SISIEMU.

Kama kila mtu ataonja mauti na hatakuwa na uwezo wa kwenda na fedha hata zilizoko kwenye mifuko ya nguo zake wakati wa kifo au Mabilioni aliyoyaweka Dubai au Jumba la fahari alilojenga kwa fedha ya wizi au fahari na utukufu alio jikusanyia kwa udharimu hapa duniani.
Inamfaa nini mtu kujilimbikizia mali ya wizi?
Inamfaa nini mtu kuunga mkono udharimu Uonevu udanganyifu na ufisadi?
Inafaa nini mtu kuunga mkono chama cha watu dharimu kama SISIEMU?

Inafaa nini?

Miaka 20 iliyo pita nilifanikiwa kutembelea mikoa mingi ya Tanzania bara na Zanzibar nikajionea umasikini mkubwa uliowazunguka na kuwanga'ang'ania watanzania kama kutandwa na siafu.
Niliugua, Nililia na kutoa machozi mengi na kujiuliza SISIEMU wana fanya nini kuondoa umasikini huu mkuu?
Baada ya kilio hiki kikuu moyo wangu ukawa mgumu kama jiwe juu ya udharimu wa SISIEMU.
Moyo huo wa jiwe ulikomazwa zaidi nilipo pata kuwekwa kitako na mfuasi mmoja msomi wa James Mapalala aliyenieleza juu ya mikutano yao ya siri na juu ya mabadiriko mengi ya kisiasa yanayotarajiwa kutokea na jinsi watu kama Mapalala walivyojitolea muhanga kudai uwepo wa vyama vingi.

Wakati ule nilipigwa butwaa kama Watanzania tulivyo pigwa butwaa na List of Shame.

Leo picha za umasikini wa Watanzania bado ziko akilini mwangu, zaidi uovu wa SISIEMU ni mkuu kuliko ule ulo kuwepo miaka 20 iliyopita. Moyo wangu sasa ni mgumu kama ALMASI.

Pamoja na ukweli kwamba SISIEMU ni Watanzania wenzangu nakiri kwamba vitendo vyao vya kudhurumu utu wetu na kutudharirisha katika nchi yetu vimetusukuma mpaka mwisho wa uvumilivu wetu kiasi kwamba wengine tumejiapisha viapo vingi vya kupambana nao.
Vitendo vyao vinatulazimisha kuwaweka kwenye kundi moja na maadui wa maendeleo ya taifa letu.

Ni vigumu kwangu kuvua shati la machungu ya SISIEMU na kuingiwa Simanzi pale mmoja wao akipatwa maafa.

Huu ndiyo ukweli, tena ukweli unao uma.
 
..mv bukoba!

..ajali ya treni ya kati,dodoma!

..na yaliyosemwa baada ya ajali hizo!

..nataka kuamini kuwa,haya yatakuwa mapenzi ya allah!

It does not matter, kama ni mapenzi ya allah or otherwise.......wakulu watengeneze barabara na vinginevyo then tutaona kama allah anapenda kuchinja watu kinamna hii. Mungu, mungu, mungu all the time....solve matatizo ya kibinadamu halafu kama hakuna changes ndio leta stories hapa za mungu alitaka na bla bla BS, watanzania bwana BURE GHALI!!!. Yes I said so.
 
..taratibu,tuko msibani!

..kama ulisoma post niliyoi-quote vizuri utafahamu zaidi!

..mwandishi wa post ali-imply kwamba enzi ya bwm[alimtaja pia ahm] ajali hazikuwepo namna hii!

..asalaam aleykhum!
 
Mwkjj,
Good, sio wote watakao rizika na maamuzi. Its Machiavellism time, the prince must do whats right for the state and people!!!!!!!.

Bado haitoshelezi kuwa picha hiyo imekosa UTU... na haifai kubandikwa hapa. Sometime jaribuni kuwa na utu.
 
Bado haitoshelezi kuwa picha hiyo imekosa UTU... na haifai kubandikwa hapa. Sometime jaribuni kuwa na utu.

picha hiyo inaonesha utu wetu kuwa sisi ni mavumbi na mavumbini tutarudi. Nakushauri usiingalie tena usije ukaota.
 
Bado haitoshelezi kuwa picha hiyo imekosa UTU... na haifai kubandikwa hapa. Sometime jaribuni kuwa na utu.

wewe akili zako zinafanana sana na za Eng Mohamedi na mtu wa pwani nitashangaa sana kama ni watu watatu tofauti nitashangaa sana!
 
Sasa Wana Jf Nawaomba Niwatoeni Nje Ya Mada Kidogo,nimesikia Kuwa Kuna Vigogo Wawili Wanatajwa Kuchukua Nafasi Yake,(kumbukeni Ni Tetesi Tu)nao Ni Gaudensia Kabaka Na Aisha Kigoda,na Pia Inasemekana Kuwa Muungwana Atatumia Nafasi Ile Moja Kufanya Restructure Kidogo Ndani Ya Baraza Hususani Kwa Manaibu Waziri,je Kuna Mwenye Tetesi?
 
picha hiyo inaonesha utu wetu kuwa sisi ni mavumbi na mavumbini tutarudi. Nakushauri usiingalie tena usije ukaota.
Hiyo picha haionyeshi UTU wa aina yoyote.. Zaidi kutokana na jinsi mnavyoielezea na jinsi inavyokwenda inaonyesha kwa kiasi gani kuwa watu wengine walivyo na roho za kinyama. Narudia tena picha hiyo haiwatendei haki hata kidogo familia ya marehemu. Upeo uliokuwa nao ni mkubwa kujua hili.. Lakini iwapo umeamua kuibandika ni juu yako. Zaidi uelewe kuwa haikuwa busara kabisa kubandika picha hiyo. Na iwapo kuna uwezekano basi uitoe.
 
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi, amin.

Ajali ni kitu cha kushtukiza na msiba wa namna hii unaumiza sana ni kitu unexpected. Tusijaribu kugeuza ajali kuwa siasa. Navyokumbuka ile barabara ina lami nzuri tu na sio mbovu kama inavyodaiwa.

Mwanakijiji anahitaji kushukuriwa kwa kutupa habari hizi na kutuonyesha ajali hii ilikuwa mbaya kiasi gani, lakini, labda uitoe kipindi hiki kigumu kwa familia.

Ajali zinatokea kila mahali hata katika nchi zilizoendelea, hata huyo Princess Diana alipata ajali. Tusigeuze ajali kuwa deal ya kisiasa, tumwombee marehemu na familia yake. Ni pigo kubwa.
 
yaani wee ulikuwa hujui kila kitu siku hizi watu wanafanya siasa, ndio maana nikasema siasa kila sehemu JF utakapopita kasoro kule kwenye mapenzi tu ndio haikanyagi but else where !
 
Kada have a good day, mie naenda kubonji kwani baadae kuna game ya kuangalia...........kaaaazi unayo, maana una-fight a up hill battle, hao ni WATANZANIA wapo blind sided!!!!na kuombea mungu, labda some good will come out of this.ADIOS kwa leo.
 
Mwanakijiji anahitaji kushukuriwa kwa kutupa habari hizi na kutuonyesha ajali hii ilikuwa mbaya kiasi gani, lakini, labda uitoe kipindi hiki kigumu kwa familia.
Yap.. Wapewe muda, anaweza kuonyesha picha ya gari kwa upande mwingine lakini sio ule ambao unao mwonyesha akiteseka katika dakika zake za mwisho hapa duniani....
 
Kada have a good day, mie naenda kubonji kwani baadae kuna game ya kuangalia...........kaaaazi unayo, maana una-fight a up hill battle, hao ni WATANZANIA wapo blind sided!!!!na kuombea mungu, labda some good will come out of this.ADIOS kwa leo.

hamna neno ! mkuu, wee pumzika bana si unajua, but care less kuhusu hao watu ! mie mwenyewe natoka sasa hivi naenda kule kwenye mapenzoooo !

Adios mkuu !
Ciao babu !
 
Kada have a good day, mie naenda kubonji kwani baadae kuna game ya kuangalia...........kaaaazi unayo, maana una-fight a up hill battle, hao ni WATANZANIA wapo blind sided!!!!na kuombea mungu, labda some good will come out of this.ADIOS kwa leo.

Nilihitaji miwani kuweza kusoma sawa na kuelewa kilichomaanishwa hapa. Hizo exclamation marks mmmmhhhh!
 
Wengine thie tukithema twaambiwa tuna kithembe...

invicible....

bora muulize INVISIBLE akupe profile ya watu sisi 3,mie kibunango na mtu wa pwani ok?

mkjj....
sawa tumeona pic lkn maadili yetu jamani tuwe na ubinadamu naona ameteseka hapo dakika zake za mwisho naona inatosha iondoshwe jamani,yeah tuchukulie kama yule NI MZAZI WETU sote and then leo pic yake inawekwa kama vile,tuloona inatosha mheshimiwa NAKUOMBA UONDOSHE haswa ukzingatia wewe NI FISADI WA JF NAMBA MOJA MIE NAMBA 2 NANMBA TATU NANI VILE.......??
 
Back
Top Bottom