TANZIA Waziri Salome Mbatia afariki dunia, maswali yaibuka!

FD... yaani mwanakijiji hakosei, mbona nilishasahihisha mapema huko nyuma.. duh.. I can't do nothing right.. this is really depressing upande mmoja fisadi, upande mwingine hivi.. duh!!
 
Kwa kweli nimepokea kwa masikitiko sana habari hii ya ajali iliyopelekea kifo cha dada yetu mpendwa na kiongozi wetu Salome Mbatia. Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.

Ingekuwa ni hawa mafisadi nisingesikitika hata kidogo kwani wao hadi sasa wanatuua. Ningesherehekea.
 
Kaka,
Toa tu pole yaishe, lakini usiseme kwamba huyu marehemu hakuwa fisadi kwani SHE WAS!!. Kawaulize watu aliofanya nao kazi pale Biashara nanilii, alikuwa ana kwiba tena sana na alijiuzia nyumba ya kampuni Osterbay kwa milioni 20..................na mengineyo. Pole kwa familia yake tena sana. lakini watu wakae wakijua, kuwa na mahekalu na mamilioni ya shilingi banco wakti barabara ni mbovu matokeo yake ndio haya!!!. I know, kuna mtu atasema hapa ooooh ajali haina kinga sijui temea mate pembeni na bla bla zote........well don't waste your time, kwani hiyo ni BS.
 
leo hii nitajaribu kuweka baadhi ya picha za marehemu akiwa hai

salome 2.jpg

hii kama anavyoenekana kwenye pofile ya bunge.

salome1.jpg

(Left to Right) Salome Mbatia, Member of the Prliament of Tanzania; Monica Emerson, Director for Staff Development & Diversity, DaimlerChrysler (U.S.A.)

salome3.jpg

hapa akila kiapo cha utii bungeni.

mola amuweke mahala pema anapostahiki.

lengo kuu ni kwa wale wasiomjua alau wamuone vyema
 
FD... yaani mwanakijiji hakosei, mbona nilishasahihisha mapema huko nyuma.. duh.. I can't do nothing right.. this is really depressing upande mmoja fisadi, upande mwingine hivi.. duh!!

Mwanakijiji, Wewe ni binadamu. Kutokana na maandiko yako, nina kuheshimu mmno! ndo maana ukikosea nakujia juu. Hiyo ni sawa na Mwalimu mwenye wanafunzi wawili, mmoja bright sana na mwingine Mjinga mjinga. Yule bright akikosea kidogo lazima mwalimu aje juu sana maana ame perform below expectation, ila yule mwingine aahaa wapi! ilitegemewa!

Ni hilo tu. Hakuna kitu personal.
 
FD... yaani mwanakijiji hakosei, mbona nilishasahihisha mapema huko nyuma.. duh.. I can't do nothing right.. this is really depressing upande mmoja fisadi, upande mwingine hivi.. duh!!

kaka mljj usiwe hivyo mkuu bila ya friction gari hayendi mkuu.
 
Kaka,
Toa tu pole yaishe, lakini usiseme kwamba huyu marehemu hakuwa fisadi kwani SHE WAS!!. Kawaulize watu aliofanya nao kazi pale Biashara nanilii, alikuwa ana kwiba tena sana na alijiuzia nyumba ya kampuni Osterbay kwa milioni 20..................na mengineyo. Pole kwa familia yake tena sana. lakini watu wakae wakijua, kuwa na mahekalu na mamilioni ya shilingi banco wakti barabara ni mbovu matokeo yake ndio haya!!!. I know, kuna mtu atasema hapa ooooh ajali haina kinga sijui temea mate pembeni na bla bla zote........well don't waste your time, kwani hiyo ni BS.
watu wote ambao ni wanamtandao ni Mafisadi wakubwa
 
wana jf mimi ni mmoja wa waanzilishi wa gazeti maarufu la kiswahili kanda ya kaskazini linaitwa arusharaha na tovuti ya www.arusharaha.com naitambulisha kwenu na pia nawakaribisha mtoe ushauri,pia maoni na hata makala,na habari mbalimbali zinazihusu nchi yetu zikiwemo habari za madini hasa tanzanite kwani mimi ni mmoja ya wanaapolo niliyoathirika na ubinafsishaji wa madini yetu tanzania naombeni ushirikiano ili kuleta maendeleo tz naomba kutoa hoja
 
watu wote ambao ni wanamtandao ni Mafisadi wakubwa

Ufisadi ni zaidi ya Mtandao. Akina Balali wala sio mtandao.

Hivi serikali yetu imekwama kabisa kupunguza hizi ajali?

Hizi ajali mimi zinanisikitisha mno. Tumepoteza vijana wengi ambao walikuwa tegemeo kwa familia zao pamoja na nchi kwasababu ya ajali ambazo zingeweza kuepukwa, lakini hakuna kinachofanyika kurekebisha hali hiyo.
 
hizi ajali za barabarani kwa nini kwetu tu??
haya sasa tumempoteza waziri wetu mama Mbatia. Mungu amlaze pema

Chenge ajiuzulu kashindwa miundombinu. Tuna madini kibao kwa nini hatuna japo double lane kuunga mikoa???

Inauma sana mpaka inabidi kusema ovyo sasa

Ni kweli kabisa Msanii. Barabara zetu za kwenda mikoani ni nyembemba na sio nzuri kutosha kuwa za kutumika kwenda umbali mrefu. Maisha ya Watanzania wengi sana yanapotelea kwenye barabara hizi. Nyingi ya barabara zetu za mikoani ni nyembamba kama barabara ndogo za mijini (feeder roads). Wakati umefika sasa, kunusuru maisha ya watanzania kwa kujenga barabara zinazostahili kwa umbali mrefu. Nahofia sana kuwa maisha yataendelea kuteketea kama serikali haitazipa barabara hizi kipaumbele.

Napenda kutoa pole sana kwa familia ya marehemu Salome Mbatia, ndugu, jamaa na marafiki wote, na watanzania wenzangu popote pale walipo. Msiba huu, umetuhuzunisha wote kwa kiasi kikubwa sana.

Mungu Amlaze Marehemu mahali pema peponi...Amen
 
Naamini sijachelewa sana nami naomba niungane na wenzangu kuwapa pole wanafamilia, watanzania na serikali kwa ujumla. Bwana litoa na bwana ametwaa kazi ya mungu haina makosa. Tumuombee wote Mungu ailaze mahala pema roho ya Marehemu. Mimi binafsi kifo hiki kimenigusa sana kwani marehemu alikuwa ni mtu wa karibu sana na familia yetu na hakika kumbu kumbu yake itadumu sana kichwani mwangu. RIP mama Salome mungu akupumzishe kwa amani.

Mungu awalaze peponi pia wengine wote waliopoteza maisha katika ajali hiyo na awape nguvu familia zao pamoja na majeruhi wote wapone na kuweza kulitumikia taifa tena.
 
Mwenyezi Mungu azilaze roho za marehemu mahala pema,POLENI KWA MSIBA,nimesikia alikuwa kwenye kampeni za kuomba kura za NEC! ILA NAAMINI NI AJALI KAMA ZILIVYO AJALI NYINGINE.
RIP mama Salome Mbatia
 
Ni kweli kabisa Msanii. Barabara zetu za kwenda mikoani ni nyembemba na sio nzuri kutosha kuwa za kutumika kwenda umbali mrefu. Maisha ya Watanzania wengi sana yanapotelea kwenye barabara hizi. Nyingi ya barabara zetu za mikoani ni nyembamba kama barabara ndogo za mijini (feeder roads). Wakati umefika sasa, kunusuru maisha ya watanzania kwa kujenga barabara zinazostahili kwa umbali mrefu. Nahofia sana kuwa maisha yataendelea kuteketea kama serikali haitazipa barabara hizi kipaumbele.
Utajenga barabara kubwa zaidi ya zilizopo kwa barabara ambayo
haipitishi magari zaidi ya 1000 kwa siku? Project kama hiyo itakuwa haina maana yoyote na huenda isipunguze ajali kwa kiwango cha kuhalalisha matumizi makubwa ya pesa wakati kuna sehemu nyingi hata hazifikiki.

Tatizo la Tanzania sio barabara bali ni uendeshaji mbaya. Dawa yake ni kupambana na wahusika kwa kuiandama mifuko yao (pesa). Madereva wengi wa TZ hawatakiwi hata kuwa barabarani, ni madereva wa kusomea mitaani. Anaweza kujua kuendesha gari lakini hawezi kujua namna ya kulitumia hilo gari kiusalama kwake na kwa raia wengine.

Ninaamini ajali Tanzania zinaweza kupungua kwa kiasi kikubwa kama wahusika wataamua kutafuta ufumbuzi. Hata mimi peke yangu nikipewa uwezo, vitendea kazi na kuruhusu kupitishwa kwa sheria za kuongeza usalama barfabarani, nina uhakika naweza kupunguza ajali TZ kwa zaidi ya asilimia 50 kwa mwaka.

Tatizo linajulikana, solutions mbambali tayari zipo sehemu mbalimbali duniani, kinachotakiwa ni will ya wahusika kuamua kuchukua maamuzi magumu kwa faida ya nchi. Madereva wabovu wanatakiwa kuondolewa barabarani kwa nguvu zote bila kujali ni
waziri, mbunge, au Mmachinga.

Nimefuatilia hizi ajali kwa muda na kwa kweli sijafurahi kuona serikali inakaa kimya huku wananchi wanachinjwa na madereva wabovu.
 
Mkuu sio siri naomba nikir kuwa ukitaka leseni sasa hivi unanunua tuu shilingi 80,000. Zipo zinauzwa kibao jamaa alikuwa anafanya kazi Kenya sasa alikuwa hana lesseni mshikaji akamnunulia tu withn 3 days lessen ikapatikana tena iko back dated na ikatumwa Kenya. Asilimia kubwa ya leseni pale Bongo ni feki kabisa. Ajali nyingi ni Uzembe tuu.
 
Ni ajali mbaya sana,ktk kipindi kibaya sana kwani mama alipewa Alama A kule kilimanjaro na Mama wa Fedha alipewa C,tusingependa kuhusianisha hilo ila ndio mfuatano wa matukio. Turejee utabiri wa Sheikh Yahaya,aliwahadharisha wana CCM kuwa uchaguzi umeandamwa na ajali nyingi sana ..................

Alikuwa mchapa kazi,si mjivuni,Mtanzania,Kiongozi na mama yetu,safari yetu ni moja ,wewe umetangulia nasi tu nyuma yako,upumzike kwa amani Salome,mungu atupe subira-Amin
 
MUNGU ailaze roho yake peponi. AMEN!
 
Utajenga barabara kubwa zaidi ya zilizopo kwa barabara ambayo
haipitishi magari zaidi ya 1000 kwa siku? Project kama hiyo itakuwa haina maana yoyote na huenda isipunguze ajali kwa kiwango cha kuhalalisha matumizi makubwa ya pesa wakati kuna sehemu nyingi hata hazifikiki.

Tatizo la Tanzania sio barabara bali ni uendeshaji mbaya. Dawa yake ni kupambana na wahusika kwa kuiandama mifuko yao (pesa). Madereva wengi wa TZ hawatakiwi hata kuwa barabarani, ni madereva wa kusomea mitaani. Anaweza kujua kuendesha gari lakini hawezi kujua namna ya kulitumia hilo gari kiusalama kwake na kwa raia wengine.

Ninaamini ajali Tanzania zinaweza kupungua kwa kiasi kikubwa kama wahusika wataamua kutafuta ufumbuzi. Hata mimi peke yangu nikipewa uwezo, vitendea kazi na kuruhusu kupitishwa kwa sheria za kuongeza usalama barfabarani, nina uhakika naweza kupunguza ajali TZ kwa zaidi ya asilimia 50 kwa mwaka.

Tatizo linajulikana, solutions mbambali tayari zipo sehemu mbalimbali duniani, kinachotakiwa ni will ya wahusika kuamua kuchukua maamuzi magumu kwa faida ya nchi. Madereva wabovu wanatakiwa kuondolewa barabarani kwa nguvu zote bila kujali ni
waziri, mbunge, au Mmachinga.

Nimefuatilia hizi ajali kwa muda na kwa kweli sijafurahi kuona serikali inakaa kimya huku wananchi wanachinjwa na madereva wabovu.

You said it all! Hakuna njia zaidi ya kukaza kamba kwenye sheria zetu. Lazima tubadilike, tena haraka sana. Lakini ni kama vile tunafikiri hatuna tunachoweza kufanya kuzuia hizi ajali, tumebaki kusema tu ni kazi ya Mungu, hapana zingine tunamsingizie, ni sisi! It is really painful. Haya ndio mambo ambayo vyama vya siasa vya upinzani wanapaswa kuyavalia njuga kisera, na ni rahisi kuonyesha tofauti na CCM ambao wamefikia ukomo wa kufikiri!
 
Utajenga barabara kubwa zaidi ya zilizopo kwa barabara ambayo
haipitishi magari zaidi ya 1000 kwa siku? Project kama hiyo itakuwa haina maana yoyote na huenda isipunguze ajali kwa kiwango cha kuhalalisha matumizi makubwa ya pesa wakati kuna sehemu nyingi hata hazifikiki.

Tatizo la Tanzania sio barabara bali ni uendeshaji mbaya. Dawa yake ni kupambana na wahusika kwa kuiandama mifuko yao (pesa). Madereva wengi wa TZ hawatakiwi hata kuwa barabarani, ni madereva wa kusomea mitaani. Anaweza kujua kuendesha gari lakini hawezi kujua namna ya kulitumia hilo gari kiusalama kwake na kwa raia wengine.

Ninaamini ajali Tanzania zinaweza kupungua kwa kiasi kikubwa kama wahusika wataamua kutafuta ufumbuzi. Hata mimi peke yangu nikipewa uwezo, vitendea kazi na kuruhusu kupitishwa kwa sheria za kuongeza usalama barfabarani, nina uhakika naweza kupunguza ajali TZ kwa zaidi ya asilimia 50 kwa mwaka.

Tatizo linajulikana, solutions mbambali tayari zipo sehemu mbalimbali duniani, kinachotakiwa ni will ya wahusika kuamua kuchukua maamuzi magumu kwa faida ya nchi. Madereva wabovu wanatakiwa kuondolewa barabarani kwa nguvu zote bila kujali ni
waziri, mbunge, au Mmachinga.

Nimefuatilia hizi ajali kwa muda na kwa kweli sijafurahi kuona serikali inakaa kimya huku wananchi wanachinjwa na madereva wabovu.
Mtanzania, Take 5!!

SteveD.
 
`BWANA AMETOA YEYE AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE'Poleni sana wanafamilia.

Mtanzania,
Nimekukubali.
 
Back
Top Bottom