TANZIA Waziri Salome Mbatia afariki dunia, maswali yaibuka!

TANZIA Waziri Salome Mbatia afariki dunia, maswali yaibuka!

Yap.. Wapewe muda, anaweza kuonyesha picha ya gari kwa upande mwingine lakini sio ule ambao unao mwonyesha akiteseka katika dakika zake za mwisho hapa duniani....

Hiyo siyo video clip wewe unajuaje kuwa anateseka dakika za mwisho? Halafu sema kuwa una sababu nyingine usemaji wa familia yake nani kakupa? Ingekuwa familia yake wamefika mahala pa tukio mapema unataka kutuambia wangejificha wasione kazi ya kunasua miili ya marehemu hao?

Niliahidi kuiweka kwa muda tu kwa ombi la Nyani......

Mtiifu unataka kuwa kama magazeti ya Bongo yaliyooogopa kutoa List of shame? Kama mtu hawezi kuangalia, ukizingatia onyo lilishatolewa anaacha halazimishwi.
 
Even me someone has just rang me from Iringa to tell me The news. he is a alecturer at Mkwawa University. What is wrong with Accidents? KIKWETE INABIDI ATINGE TENA BAGAMOYO KUJUA KULIKONI. Maana Juzi alikuwa Prof. At least kapona. But poor Salome could not survive. How come Ministers are going down so rapidily? SAD SAD SAD.Mungu iOKOE Tz na majanga ya ajali
 
Niliahidi kuiweka kwa muda tu kwa ombi la Nyani..

mkuu saijaiona picha rudisha basi kidogo tu
kweli mwanakijiji wewe ninakuaminia sijui wewe ni mtu wa wapi upo makini sana mbona ukosei ukairudisha tu kidogo sintalia .
 
jamani nyie mlioko Marekani mnaotoka job mida hii nitawawekea baadaye kidogo tena... maana naona hapa ni lose lose situation tu. Na hiyo ni picha moja, ningeweka na zile nyingine si ndio ingekuwa hatari...
 
jamani nyie mlioko Marekani mnaotoka job mida hii nitawawekea baadaye kidogo tena... maana naona hapa ni lose lose situation tu. Na hiyo ni picha moja, ningeweka na zile nyingine si ndio ingekuwa hatari...

nina subiri mkuu wangu kwalilo tu ndipo unaponiweka hai kwa habari nzuri nzuri
 
Hili ndilo gari alilokuwamo marehemu Salome Mbatia
 

Attachments

  • Mbatia-2.JPG
    Mbatia-2.JPG
    32.5 KB · Views: 176
JAmani binafsi namkumbuka SAlome Mbatia kama mwanamama aliyekua na msimamo thabiti. Nakumbuka mambo kadhaa ambayo kwa sasa sitaki nimjengee chuki na wenzake, lakini alikua imara kupita kiasi, japo kama binadamu alikua na udhaifu wake.
 
Sasa Wana Jf Nawaomba Niwatoeni Nje Ya Mada Kidogo,nimesikia Kuwa Kuna Vigogo Wawili Wanatajwa Kuchukua Nafasi Yake,(kumbukeni Ni Tetesi Tu)nao Ni Gaudensia Kabaka Na Aisha Kigoda,na Pia Inasemekana Kuwa Muungwana Atatumia Nafasi Ile Moja Kufanya Restructure Kidogo Ndani Ya Baraza Hususani Kwa Manaibu Waziri,je Kuna Mwenye Tetesi?


Kwi kwi kwi..jamani wacha nivunjike mbavu...yaani hata msiba haujawekwa nikiwa na maana hata hema wala viti havijaletwa nyumbani kwa wafiwa; watu tumeshaanza kuangalia mbele nani mrifi wa kazi yake....!!! Ama kweli waliosema kufa kufaana hawakukosea.
 
01xr6.jpg


Jk akiwa na waziri mkuu mh. EL, makamu wa rais Doct. Ali Mohamed Shein na mawaziri,
manaibu mawaziri baada ya kufanya mabadiliko madogo kwenye baraza lake
ambapo mh. Salome Mbatia (njano) alibadilishana na
mh. Dct. Batilda Buriani (kilemba) wizara ambapo yeye mh. Mbatia alikwenda
wizara ya maendeleo ya jamii, jinsia na watoto



02um8.jpg


Hayati Salome Joseph Mbatia akiongea na Doct. Asha-rose Migiro
(enzi hizo akiwa waziri wa mambo ya nje) nje ya jengo la bunge
Dodoma mapema mwaka jana. mh. Mbatia amefariki jioni ya leo huko
Kibena mkoani Iringa kwa ajali baada ya gari alilokuwa akisafiria
kugongana uso kwa uso na lori aina ya fuso a
mbapo madereva wote wawili pia walipoteza maisha

Credit: Michuzi Blog
 
Kwi kwi kwi..jamani wacha nivunjike mbavu...yaani hata msiba haujawekwa nikiwa na maana hata hema wala viti havijaletwa nyumbani kwa wafiwa; watu tumeshaanza kuangalia mbele nani mrifi wa kazi yake....!!! Ama kweli waliosema kufa kufaana hawakukosea.

Umepata hapo! The world doesn't stop, that's the way life goes!
 
FMES, nilishaiweka hiyo picha hapa karibu masaa sita yaliyopita (angalia kurasa chache hapo nyuma) ila baadhi ya watu wameomba tuitoe sasa.
 
Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi.
 
Mungu amlaze mahala pema peponi!.. duh, bongo jamani haya magari makubwa ya mkaa na magogo yatatumaliza. nadhani swala hapa sio kutazama tena magari ila barabara zetu hasa huko bara.
Sielewi kilisibu hasa, lakini nadiriki kusema hizi ndio gharama kubwa za kutojali ujenzi wa barabara bora!
 
Heshima mbele mkuu, hakuna noma nilitumiwa na jamaa private, aliyekuwepo kwenye ajali, anyway Mungu amlaze pema marehemu peponi, hii inatisha sana,

Wiki hii nilipata bahati ya kuzngumza na baadhi ya wabunge wetu, walioshirki kwenye mjadala ule wa kumfukuza Zitto,

1. Mundhihir, aliandikiwa kipande cha ujumbe na Lowassa, kuipeleka hoja ya kumfukuza Zitto, yaani alishinikizwa na Lowassa,

2. Alipomaliza kutoa hoja, ikawa zamu ya Zitto, kuzungumza, vyombo vyote vya mawasiliano ndani ya bunge vikazimwa, matokeo yakawa wananchi kutokupata exactly what Zitto, said!

3. Baada ya Zitto, kumaliza ilibidi kupigwe kura kuhusu kumfukuza, kuna wabunge wa CCM, waliokasirishwa, na uamuzi huo wa wabunge wa CCM, kuipitisha hiyo hoja wakaamua kuondoka ili wasipige kura, hakuna gazeti waloa media zetu, ambako wananchi walifahamishwa haya,

4. Naomba ninukuuu machache aliyoyasema Zitto, kama nilivyofahamishwa huku mawasiliano yote bungeni yakiwa yamezimwa,

"....Mheshimiwa Mundhihir, sisi wabunge wote hapa tumechaguliwa na Mungu, ili tuje tuwakilishe masilahi ya taifa na wananchi kwa ujumla, wewe unawakilisha masilahi yako na wenzako, mimi ninawakilisha masilahi ya wananchi na taifa. Ninacho omba ni kamati iundwe kuchunguza kama madai yangu yana ukweli, yasipokuwa na ukweli basi sio tu nifukuzwe bunge, bali ninyongwe,....Mungu hatawasamehe wewe na wale wote unaowawakilisha...."

Wakuu wangu nimejaribu tu kufupisha na kuchambua kwa kifupi yale yaliyojiri, ambayo binafsi nayaona yanakaribiana sana na yanayojiri,

Namuomba Mwenyezi Mungu ayapitishie Mbali, na mkuu Zitto, I do not care unatoka chama gani, lakini Bravo mkuu na heshima mbele mkuu,

na Mungu akujalie mkuu! na Mungu amlaze mahali pema peponi marehemu Mbatia!
 
Hiyo picha haionyeshi UTU wa aina yoyote.. Zaidi kutokana na jinsi mnavyoielezea na jinsi inavyokwenda inaonyesha kwa kiasi gani kuwa watu wengine walivyo na roho za kinyama. Narudia tena picha hiyo haiwatendei haki hata kidogo familia ya marehemu. Upeo uliokuwa nao ni mkubwa kujua hili.. Lakini iwapo umeamua kuibandika ni juu yako. Zaidi uelewe kuwa haikuwa busara kabisa kubandika picha hiyo. Na iwapo kuna uwezekano basi uitoe.

Binafsi sitaki kuangalia picha yoyote ya mtu anayekufa, labda ndio maana niliamua nisiwe daktari.

Kama wengine wanataka kuangalia picha kama hizo, ni mapenzi yao
lakini fikirieni pia, je angekuwa mama yako au dada yako au mtoto wako, ungependa picha yake iwekwe hapa? Kama ungeona sawa, basi una haki ya kuiweka na kuiangalia.

Pole sana kwa familia za marehemu wote kwenye hiyo ajali. Inasikitisha sana, hizi ajali zitatumaliza na inaonekana hakuna tunachoweza kufanya zaidi ya kusikitisha.
 
Back
Top Bottom