Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Mungu ailaze Roho ya Marehemu mahala pema peponi...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyuma ya gari la Mbatia kulikua na gari la Zitto na nyuma ya gari la Zitto kulikua na gari la Naibu waziri David Mathayo... Zitto ndiye aliyebeba majeruhi wa gari lory bila kujua waliokuamo katika NISAN ni kina nani..

Oh man!!! walikuwa wote kwenye msafara mmoja?
1. Hili zimwi la ajali kwa vingozi hii awamu ya JK sasa imezidi. Why katika hii awamu ajali zimezidi? Sijafanya uchunguzi ...sioni kama kiwango cha ajali kwa viongozi wakati wa BMW na AHM kilikuwa kikubwa hivi. Kulikoni? Serikali inahitaji maombi maalum over ajali hizi?
2. Nawapeni pole wafiwa- Mungu awatie nguvu wakati huu wa majonzi!
Mungu ailaze Roho ya Marehemu mahala pema peponi...